Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Ni Tanzania tu ambapo kiongozi aliyekuwa kimya mpaka mkataba wa kinyonyaji ukapita anakuja kusema huo mkataba ulikuwa mbovu! Wakati huo huo hata yeye huo Mkataba hataki kuonyesha nini kiko ndani ya huo mkataba alipokubali upite, kisha akaukataa. Kichekesho ni pale rais huyo huyo anapogomea katiba mpya ili mambo yaendeshwe kwa uwazi zaidi na watu wanashangilia na kusema ni kiongozi sahihi!
Yelewiiii!
 
Mchina sio mtu wa mchezo mchezo,yaani ukizubaa tu sekunde anakumaliza!
Tulimwambia kuhusu utapeli wa Wachina wafia chama wakaja na mapovu naye kwa kukumbwa na pepo wa uongo akawaita marafiki wa kweli wa maendeleo na akasisitiza wao siyo kama Mabeberu. Sasa Leo hawa mitamba(wachina) wamegeuka maksai?
 
Kiongozi hili linafikirisha sana, ni kweli aliwasifia sasa sijui hakuona, mbaya zaidi alikua katika baraza wakati wanapitisha
 
Na katika gesi alichelewa, akakuta maji yameishamwagika.

Halafu unakuta kuna mpumbavu anajisikia vibaya kisa magufuli haongei kiingereza fasaha[emoji16][emoji16][emoji16], hapa ndio utajua kila binaadam ana kipaumbele chake.
Waliomshabikia Kikwete na mama Makinda siku Ile usiku, mswaada ulipo lazimishwa kupitishwa usiku wa manane ni pamoja na huyu anayelalamika leo. !!!

Ccm wote wanafki. Leo ndiyo wanajifanya wazalendo wa kuionea nchi huruma ?!.

Tatizo la Tz ni katiba. Imewafanya ma Rais mamiungu watu . Na ndiyo chanzo cha kuiuza nchi yetu kwa wanaitwa wawekezaji.
 
Mtoe magu ktka mambo ya kipuuzi kama hayo, labda kama umemjua baada ya kuwa rais 2015.

Huyu mtu mna chuki naye, lakini isiwe sababu ya kumpaka ubaya kwa gharama,
 
Kwani siku Ile usiku hakuepo ukumbini ?!. Alitoka hata nje kuonyesha hakubaliani na ule mswaada ?!. Hapo siitamki mv dar
 
Kwahiyo waliobaki ndani wote hawakuwa na uzalendo!!!!
Sasa nini kama si unafki ?! Yule jamaa alikuwa amebakiza miezi miwili tu ofisini astaafu !! Kwanini walikubali gas na mafuta yetu yaende kwa mkwara wa mtu anadondoka ?!. Labda walifikiri kizazi kimekomea kwao ?!

Ndipo niliposema tatizo letu ni katiba inayowafanya kuwa mamiunguwatu wasiopingwa.
 
Angetoka na kina halima mdee nje,huwenda leo ungeishamsahau, kwani huwenda hata asingekuwa diwani.

Amekaa ndani ili umuone mnafiki, kusudi aje akataze ujenzi wa bandari leo.
 
Arudishe na mafuta na gas yetu waliogawa kinafki [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]
 
Halafu huyu unaemuita mpumbavu amepigania rasilimali za nchi hii tangu awamu ya mkapa. Lakini genge ndani ya CCM wametufikisha hapa
 
Back
Top Bottom