Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Umepanic nini sasa?ONDOA UPUMBAVU HAPO WEWE MBONA UNAVUKA MIPAKA SASA HAAAA UMEKUSUDIA???????????????????!!!!!!!
Magufuli ni dikteta na kila siku zinavyozidi ndivyo anavyozidi kujidhihirisha.
Hapo ujumbe ni kwamba "ukijifanya mjanja cha moto utakiona".
Kua nayo ni kitu cha kawaida sawa coz anaweza akawa anamiliki toka enzi izo sawa ila toka uone marais wa nchi za ki democracy ni rais yupi ameonyesha hata magazine tu au risasi kwa mkono wake toka kwenye mwil wake najua tanzania sio nchi ya demo cracy tena kisa maana yake people power ambayo ni slogan ya chadema mbona hao wengine awajafanya kama ye napata shaka ata kisa cha ye kuvaa gwanda dalili nyingine hiiWatanzania tuache ushamba.. Marais wote duniani hiyo kitu lazima awe nacho
Usalama wa rais uko wapi kama rais anaionesha dunia silaha anayotumia na mahala anapohifadhi silaha hiyo.
Hivi washauri wa kiusalama wa huyu mtu wamelala usingizi au ndo jamaa hashauriki?
Wacwac ndo akiliHii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Her asishaurike,kuliko walokubali kushaurika hadi twiga wakapanda ndege,Inasemekana kuna watu wasioshaurika....!!!!
Unachosema ni kweli katika wakati huu wa kutumbua majipu ni muhimu kuweka tahadhari, mzee karume aliuliwa na mlinzi wake tena aliyekuwa akimwamini, mzee kabila aliuliwa na mlinzi wake tena aliyekuwa anamwamini, kuchukua tahadhari ni jambo la msingi sana.Mkuu wa Mkoa ameomba wenye silaha wote mkoa wa Dar wazihakiki silaha zao. Raisi Magufuli ni mwenyeji wa Dar ni haki yake kufanya hivyo..
Lakini pia Kuna kanuni nyingi za kuzingatia ili mwananchi au asiye mwananchi kumiliki silaha. Raisi kama mwananchi yeyote yule najua fika ametimiza vigezo vyote.
Lakini pia sheria inaruhusu msajili mkuu wa silaha kumpa Mkuu wa nchi silaha ya dharura akiwa ndani ya mipaka ya Tanzania kama huyo mkuu wa nchi atakuwa hana hati ya kumiliki silaha.
Naomba utafute makala ya jinsi Raisi wa DRC Congo Mzee Kabila alivyouwawa na body guard wake halafu relate na kasi ya Raisi Magufuli serikalini na ndani ya CCM.
Kwa jinsi Raisi Magufuli anavyoyatumbua majipu ni haki na salama kwake kuwa na silaha binafsi.
Nimeona pia kwenye ITV alivyokuwa mwangalifu na silaha yake kuhakikisha kwenye chember hapakuwa na risasi. Raisi Magufuli anaonekana sio mgeni kwenye matumizi ya silaha.
BIG UP MAGUFULI. NI HAKI HAKO KIKATIBA NA KISHERIA.
Mheshimiwa Rais Magufuli anawatumbuwa Majipu lazima atakuwa na Maaduwi wengi ambao hawamtakii mema ndio maana lazima awe nayo silaha ya kujilinda.I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Umejuaje huwa anatembea nayo. Labda huicha home kwa ajili ya kujilinda ndani kwake na Labda anayo hata kabla hajawa raisI don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?