singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Unless kama heading ya post hii hujaielewa, maagizo ya Makonda wenye silaha waziwasilishe polisi zihakikiwe. ulitarajia afanyeje azitume kwenye Whasapp??I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Ni mwendo wa maigizo ya bongo movies hata mimi nawasubiri waje ofisini kwangu kuhakiki wenyewe
Kweli evolution ya ubongo kwa Africans bado inaendelea.....
MAPOVU IACHIE FOMA GOLD!
Haha ndio namsubiria labda atatokea kwenye tukio kwa ajili ya uhakiki na Smg yakeHahahaah hivi Malima kapotelea wapi aisee??
Umezowea vya kunyonga, 'GETI KALI' UTALIWEZA?Aaah huyu jamaa hata mwanae sitongozi. Hahahaha
ni kiongozi wa matendo na mifano na ndiye watanzania tuliyemtaka kiongozi namana hii safi kabisa. kama anapinga ufisadi apinge kwa mameno, sio unapinga ufisadi halafu wewe mwenyewe fisadi. Heko Magufuli kwa kuonyesha kuwa mtendaji wa vitendoAnaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Umezowea vya kunyonga, 'GETI KALI' UTALIWEZA?
Umenikumbusha funguo Malaya.... Kila kufuli inafungua.....ni kiongozi wa matendo na mifano na ndiye watanzania tuliyemtaka kiongozi namana hii safi kabisa. kama anapinga ufisadi apinge kwa mameno, sio unapinga ufisadi halafu wewe mwenyewe fisadi. Heko Magufuli kwa kuonyesha kuwa mtendaji wa vitendo
Hakutakiwa kuhakiki,alitakiwa kurudisha.Na alitakiwa kurudisha kabla hata ya kuingia Ikulu.Hivi akipata hasira yupo chumbani akammaliza mtu humo ndani inakuwaje??
Wewe umeathirikaje na silaha ya Magufuli? Hivi mbona mnakuwa watu wa ajabu namna hii, isitoshe pale ametii agizo la mkuu wake wa mkoa! Media kwa kiongozi ni muhimu kwani yeye ndie muongoza njia ktk harakati za nchi! Hivi nini hasa kinawauma hapo?
Hujaniconvince bado,inakuwaje RAIS amiliki silaha.
Anajielewa basi mwacheni jamaniI don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
mkuu binadamu hawaaminiki aisee ... ila nalo ni wazo jemaMiss Chagga huyu anaenda kulindwa maisha yake yote yaliyobaki hakupaswa kuwa na silaha,vinginevyo aikabidhishe polisi mwanae akifika miaka kumi na nane airithi