MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Sasa mimi sielewi nini?Tatzo lako huelewi...limetilewa tangazo kwamba silaha zote lazma zihakikiwe UPYA ndani ya siku 90 sasa raisi amefanya loss gani kuhakiki silaha zake
Jamani ebu tujaribu kufikiri kidogo, tusiwe wavivu kiasi hiki, yeye kama mkazi wa Dar es salaam, alitakiwa aifikishe vipi polisi kwa ajili ya kuihakiki? Au wangemfuata nyumbani kwake ikulu?Na mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Trust nobodyNa mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Why not media? Nani angekujibu hapa Kama hujatumia media ya JF?Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Wakuu,Hope alitakiwa kuirudisha.Imenipa shida kidogo kwamba hawaamini walinzi wake.Halafu mbona lisilaha lenye kubwa mno.
Lusungo Na makada wenzio. Mnalalamika Ngosha anatumia media.Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....
Vipi majipu yameisha? Too much aisee.
Kama UKAWA wanavyolilia bunge lionyeshwe live wauze sura.Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Kweli Watanzania Wengi Wetu Ni Misukule Ktk Kutumikia Siasa! Ww Na Hao Wanakupa Likes, Nani Aliyekuambia Kuwa Magufuli Alizipeleka Kituo Cha Polisi Kufanya Hilo Zoezi!!!!!?? Hebu Mtuambie Ni Kituo Gani Hicho!!!?? Maana Taarifa Zinasema Alifuatwa Nyumbani Kwake Kuzikagua Na Waliandaa Mazingira Hayo Yanayonekana!!! Someni Kwanza Vizuri Post Kabla Kumjibu Mtu!!Mkuu fikiria kidogo, silaha zinakaa nyumbani tu hapo amezileta kwaajiri ya uhakiki tu
Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Kabila aliuliwa na walinzi wake, so nadhani ni sababu mojawapoNa mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
mkuu hizo ni sifa za kijinga anazitafuta!.ile kazi hata ingefanyika bila media wala yeye kuhusika moja kwa.moja! anataka kuonyesha kuwa kamanda[emoji12]I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
patronizing! kwa hiyo wafikiri kama wewe?Watanzania wengi uwezo wa kufikiri ni majanga. Siamini wanavyofikiria watu humu jf. Kuelimishana na kuwezeshana kufikiri kimantiki bado ni safari ndefu sana.
wewe bwana mdogo hujitambui. hivi umesha acha kutembea na ile ndude musu..Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Simaanishi hivyo. Kila mtu ana uwezo tofauti wa kufikiri lakini mwisho wa siku tunakuwa na mantiki moja.patronizing! kwa hiyo wafikiri kama wewe?