Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Yeye mwenyewe ndo mlinzi namba moja wa kujilinda kumbuka yeye ni amiri jesh mkuu... Yeye ni kiongozi mtendaji hayupo pale ki figure,

Kikinuka anauwezo wa kujihami kama wadau watachelewa kustuka
 
alikuwa anaenda kuihakiki na hapo ni sehemu muafaka ya kuiweka!!au inabebewa kwenye sanduku!
 
Huo ni usalam wake kama Rais tafuta mfalme ambaye hakutembea n panga na mshale ukonect dot na rais wetu na wengine wote duian
 
Rais John Magufuli amekwenda kuhakiki silaha zake kwa Jeshi LA Polisi. Akiwa mbele ya Kamanda Simon Siro alichomoa bastola yake kiunoni na kuweka mezani.

Issue hiyo angewapa wasaidizi wake tu wakamsaidia

.
Ni kinyume cha sheria kumkambidhi mtu mwingine silaha isiyo muhusu!

Hivyo Rais yuko sahihi!
 
huyu jamaa huko tuendako atakataa hadi walinzi..atakua anajilinda mwenyewe
 
Nionavyo miye ni kuwa alitaka APIGWE picha na wana habari akihakiki silaha yake. Mediacoveragemania.
 
Kwani inakatwaza?
 
Magufuli ni dikteta na kila siku zinavyozidi ndivyo anavyozidi kujidhihirisha.

Hapo ujumbe ni kwamba "ukijifanya mjanja cha moto utakiona".

yaani inashangaza wanaomshangilia tu kwa haya
 
Mnachanganya madesa! Alikuwa anamiliki silaha hizi tangu akiwa mbunge, na then waziri.

So, kuwa rais hakumfanyi azitupe silaha hizo kwani kuna siku hatakuwa rais.

Alichokifanya ni kuhamasisha watu watii agizo la RC, ambalo ni jambo jema kwa namna usalama wa Dar ulivyo kwa sasa. Huna raha hata ukienda kuchukua 1 M.
 
Na bado anataka aombewe
 
Tueleze vichwa ngumu
 
Watanzania tuache ushamba.. Marais wote duniani hiyo kitu lazima awe nacho
 
Rais yuko juu ya sheria, sasa yee kaenda kutii sheria ipi?
Hata hivyo sidhani kama kulikuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo.
Hasa kitendo cha kuonesha silaha hadharani na mapicha juu juu
Hapo ndiyo sijui kwa nini kaamua kufanya hivyo
 
Afadhali kaonesha silaha zake, ukawa na mtoe hata kama mna hirizi mzitoe tuu, hamna mbaya
 
"Hii serkali ya kazi tu sijui inaendeshwa vp kila kiongozi ana mwandishi wanashindana magazetini" Ney wamitego.
 
Hapo sasa sijui ni nini? Duh kila mtu wa hii serikali anataka kupiga bao kwa waandishi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…