Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

Sheria ya kodi ikisimamiwa nchi itasimama.Ni vyema kujikita indirect taxes viwandani ,mipakani ,viwanja ndege,posta na bandarini. Haya mengine magumu, nasema uongo ndugu zangu??
 
Asante sana baba,mwenyezi mungu akubariki sana[emoji120][emoji120]
 
Hapa sasa ndio maisha yanaenda kua magumu kwa wafanyabiashara wenye maduka , maana kitu hicho hicho kimoja ukienda dukani bei lazima iwe juu kwa sababu kuna kodi ya serekali , lakini ukienda kwa machinga kitu hicho bei chee kwa sababu hakuna kodi yeyote ,
Hapa kuna haja ya wafanya biashara wote wawe machinga tuu , hakuna namna haya ndio mambo ya uchumi Wa kati
 
Kwingi Esta mbona Mwandiko wako na sauti ni ya kiume sana?
 
Imeshuhudia kitio kamoja Mgambo aligoma lkn baada ya siku 9 kufanya matengenezo risiti zote zilitoka kwa tarehe moja HD ukawa uchafu
Dada ni petrol station za wapi hazitoi receipt? Mana bora ungetoa mfano mwingine lakini sio petrol station wao pump zimeunganishwa na mashine ya receipt akiuza receipt inatoka
 
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Unaangaika na matokea badala ya kuhangaika na chanzo.
 

Na huu utaratibu wa kodi hauwezi kuwa wa wazi hata wafanyeje
Mmoja ananunua pamoja na VAT mwingine anaambiwa beba tu kwa bei ya bila risiti
Sasa hapo unakuta duka moja linakuwa na bei tofauti na wengine halafu hauzi kitu maana bei inaenda na vat
Inabidi nae ajiongeze
Hapo ndio wanakuja jamaa na utaratibu wa makadirio ambao ni utaratibu mbovu kabisa wa ukusanyaji wa kodi
Elimu inatkiwa sana ingawa ni miaka mingi sasa tangu VAT ianze lakini bado hata wakusanyaji wengine hawaelewi shame
 
Si mda Hata hicho tulichokua tunapata tunaenda kukikosa,
 
Kodi zimekua nyingi na kubwa hazilipiki kirahisi, nafikiri ni wakati waziri wa fedha na team yake ku review viwango na sheria za kodi
Hizi kodi huwa hazipangwi na wizara kama unavyopanga matumizi ya familia yako, Bunge ndio lenye dhamana la kupanga na kupitisha sheria mbali mbali zinazotumika. Wasiliana na Mbunge wako.
 
Hizi kodi huwa hazipangwi na wizara kama unavyopanga matumizi ya familia yako, Bunge ndio lenye dhamana la kupanga na kupitisha sheria mbali mbali zinazotumika. Wasiliana na Mbunge wako.

Bunge lipi linapanga na kupitisha sheria? Sheria zote zinapangwa na kupitishwa na wizara, huko bungeni ni rubber stamp tu.
 
Wamachinga ndio wanaokwamisha, wanachukua vitu kwa mali kauli kwa wahindi wanamwaga vitu mitaani alafu aje TRA eti anataka kodi alafu machinga anauza vitu nje bila risti hapo serikali itaendelea kupigwa tu
Machinga ukimzingua anakuonyesha kale kakadi ka 20,000 alafu mzigo anaouza ni mamilioni hapo unakuta tunasema aisee maduka hayauzi kumbe wamachinga ndio wanauza wanaotembeza kitaa waliopanga barabarani.... kodi wataisikia tu
 

Magufuli is very chaotic yan he s not a problem solver, hana busara na hajui how business runs hajui kuset priority, somo la opportunity cost lilipita pembeni, na ndio mana mambo mengi yanaenda kufeli, ameshindwa kuweka mazingira rafiki sasa anarudisha lawama kwa wananchi, sijawah ona raisi gemse kama huyu
 

This nigga was supposed to be a small scale farmer somewhere in chaitooo.
 

Magufuli huyu huyu anaenunua mindege inakuja kupaki tu alafu wamarekan wanatujengea vyoo na kutucheka huko kwene mitandao ? You guys sold this country to the highest bidders and inaenda kutukost, mindege alafu madarasa hayatosh, kmmk when are you guys going to understand? tunaitaji sana elimu kuliko hizo boeng za kumpeleka mtu mmoja chato ? . Mtu mmoja anatuzidi akili watu million 56 ? This country has alot of morons... we still have a long way to go...
 

Na aliefeli ni nani ? Ni yeye, he shouldn't put blame on us, should he ?. There is only one thing that this dude is good at, Intimidating his critiques, this dude is a b$@[emoji2399]h @$$ nigga. Yan badala ya kudeal na namna mfumo ulivyokaa ili uufix ye anataka kufix wafanyabiashara na wateja. Anashindwa kuelewa system walioimplement ni mbovu wairwkebishe in such a way mfanyabiashara atashindwa kukwepa kutoa receipt ye anataka watu wazinguliwe. Why does he think he is the only perfect guy in this country ?...
 
Mwisho wa siku BEI ZA VITU ZITAPANDA..
hyo VAT utailipa wewe
 
Sababu ni wezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…