Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana baba,mwenyezi mungu akubariki sana[emoji120][emoji120]Kweli ni kosa kutoa receipt isiyo na figure ya kweli, ila hata yeye juzi ametangazwa mshindi kwenye uchaguzi kwa matokeo yasiyo ya kweli. Tabia anayoikataa kwenye receipts, ndio tabia iliyompa madaraka. Pamoja na kuwa kweli kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatoa receipts Zen figure ndogo kulingana na figure halisi, lakini ukweli ni kuwa makusanyo yameshuka kutoka na maamuzi yake mabovu kwenye sekta ya biashara.
Hapa sasa ndio maisha yanaenda kua magumu kwa wafanyabiashara wenye maduka , maana kitu hicho hicho kimoja ukienda dukani bei lazima iwe juu kwa sababu kuna kodi ya serekali , lakini ukienda kwa machinga kitu hicho bei chee kwa sababu hakuna kodi yeyote ,Kwanza watoa darasa na elimu kuhusu namna ya ulipaji wa kodi VAT
Wafanyabiashara wengi wao wanaweka faida yao tu kwenye bidhaa bila kuongeza kodi ya serikali
Hapo inapofika mda wa kulipa kodi wanachanganyikiwa kwa kudhani anadhulumiwa
Inatakiwa wholesalers wakatwe kodi juu kwa juu, hivyo mteja wa chini atajua kuwa kalipia na kodi kabisa naye atamdai mnunuzi wa mwisho kodi stahiki la sivyo tutazungushana tu mpaka kiama
Asante Rais Magufuli kwa kuliona hilo.
TRA wamelala usingizi wa pono. Duniani kote kodi lazima ilipwe! Nchi za wenzetu unafanya kulazimishwa risiti yako inaingizwa mfukoni. Maduka mengi hasa super markets kwa Tanzania ni mfano wa kuingwa.
Wizi huu kwa sasa umeshika kasi kwenye vituo vya mafuta. Mashine hazitoi risiti na kuna risiti za aina mbili.
Nashauri TRA wangetoa zawadi hata asilimia mbili ya pesa inayoibwa kwa kutokutoa risiti au kupewa risiti feki zoezi lingeenda kwa kasi kubwa nchi nzima. Ukitaka kula lazima uliwe by JK
Queen Esther
Dada ni petrol station za wapi hazitoi receipt? Mana bora ungetoa mfano mwingine lakini sio petrol station wao pump zimeunganishwa na mashine ya receipt akiuza receipt inatoka
Unaangaika na matokea badala ya kuhangaika na chanzo.'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Hapa sasa ndio maisha yanaenda kua magumu kwa wafanyabiashara wenye maduka , maana kitu hicho hicho kimoja ukienda dukani bei lazima iwe juu kwa sababu kuna kodi ya serekali , lakini ukienda kwa machinga kitu hicho bei chee kwa sababu hakuna kodi yeyote ,
Hapa kuna haja ya wafanya biashara wote wawe machinga tuu , hakuna namna haya ndio mambo ya uchumi Wa kati
Si mda Hata hicho tulichokua tunapata tunaenda kukikosa,Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Hizi kodi huwa hazipangwi na wizara kama unavyopanga matumizi ya familia yako, Bunge ndio lenye dhamana la kupanga na kupitisha sheria mbali mbali zinazotumika. Wasiliana na Mbunge wako.Kodi zimekua nyingi na kubwa hazilipiki kirahisi, nafikiri ni wakati waziri wa fedha na team yake ku review viwango na sheria za kodi
Hizi kodi huwa hazipangwi na wizara kama unavyopanga matumizi ya familia yako, Bunge ndio lenye dhamana la kupanga na kupitisha sheria mbali mbali zinazotumika. Wasiliana na Mbunge wako.
Machinga ukimzingua anakuonyesha kale kakadi ka 20,000 alafu mzigo anaouza ni mamilioni hapo unakuta tunasema aisee maduka hayauzi kumbe wamachinga ndio wanauza wanaotembeza kitaa waliopanga barabarani.... kodi wataisikia tuWamachinga ndio wanaokwamisha, wanachukua vitu kwa mali kauli kwa wahindi wanamwaga vitu mitaani alafu aje TRA eti anataka kodi alafu machinga anauza vitu nje bila risti hapo serikali itaendelea kupigwa tu
Kweli ni kosa kutoa receipt isiyo na figure ya kweli, ila hata yeye juzi ametangazwa mshindi kwenye uchaguzi kwa matokeo yasiyo ya kweli. Tabia anayoikataa kwenye receipts, ndio tabia iliyompa madaraka. Pamoja na kuwa kweli kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatoa receipts Zen figure ndogo kulingana na figure halisi, lakini ukweli ni kuwa makusanyo yameshuka kutoka na maamuzi yake mabovu kwenye sekta ya biashara.
Ni Tanzania tu ndiko Rais ana deal na trivialities yaani nitty gritty. Kweli mnampeleka mtu Ikulu badala ya ku-deal mambo strategic ya kujenga uchumi anaanza ku- deal na risiti za petrol station za Ths 10,000.
This is too low for a president of a country like Tanzania with 59 Million people.
Yani wewe ndo uko too low kama wasaidizi wake wamelala unataka na yeye alale. He knows what is doing....miradi lazima iishe na lazima tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi watu wangekuwa wanajua wajibu wao wa kulipa na Kudai receipt na wafanyabiashara kutoa receipt sahihi do you think Mr. President ungemwita too low[emoji23]
Uzuri ni kwamba wasaidizi wake mewachagua mwenyewe siyo mimi. Kama wasaidizi ni mediocre basi na aliyewachagua naye ni mediocre.
Hii kitu ya risiti ameiongea kuanzia mwaka 2015 na amewahi kuchukua hatua nyingi ikiwa ni pamoja na kuingiza kipengele cha sheria kuhakikisha kuwa watu wanadai risiti. Unapoona miaka 5 bado watu hawa COMPLY ujue hiyo kitu imeshindwa.
Nmewahi kwenda petrol station risiti hazitoki!Imeshuhudia kitio kamoja Mgambo aligoma lkn baada ya siku 9 kufanya matengenezo risiti zote zilitoka kwa tarehe moja HD ukawa uchafu
Ni Jambo jema Sana mkuu jiwe..
Ni Bora kubaki na wafanya biashara Wachache wanaolipa Kodi kwa uaminifu kuliko kuwa na wafanya baishara wengi waliojaa wizi na ujanja katika kulipa Kodi kwa serika angali Sisi wananchi tunalipa Kodi kwa uaminifu Kupitia bidhaa zao.
Sababu ni wezi tuKabla ya kuwachukulia hatua, wajiulize kwanini wafanyabiashara wanadanganya kutoa risiti zisizo sahihi au kutotoa kabisa,
Badala ya mamlaka kuwachukulia hatua watafute sababu ni nini au kwnini kuna udanganyifu, kwanini wafanyabiashara wanakwepa kutoa risiti