Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ya kodi inasema kuwa mfanyabiashara atatozwa kodi ya mwaka kutokana na mauzo yake ndani mwaka(siyo katika faida).
Mamlaka ya mapato inatambua mauzo yako ya mwaka kupitia rekodi ya risiti ulizotoa kwa kupitia hiyo mashine ya EFD.
Wafanyabiashara hawatoi risiti za EFD kupunguza hesabu za mauzo yao ya mwaka ili mwisho wa siku walipe kodi nafuu.
👍Dada ni petrol station za wapi hazitoi receipt? Mana bora ungetoa mfano mwingine lakini sio petrol station wao pump zimeunganishwa na mashine ya receipt akiuza receipt inatoka
Mimi nashauri kote tutengeneze mifumo ya kulinda tunachokikusanya.
Tunaweza kusanya kodi lakini kuna mahali pana vuja.
Tutaishia kulumbana kumbe kunauwezekano kuna mahali mfumo tulionao unapelekea kibubu kisijae.
Tuwekeze kwenye kutengeneza mifumo thabiti ya kulinda tunachokikusanya.
Mimi nashauri kote tutengeneze mifumo ya kulinda tunachokikusanya.
Tunaweza kusanya kodi lakini kuna mahali pana vuja.
Tutaishia kulumbana kumbe kunauwezekano kuna mahali mfumo tulionao unapelekea kibubu kisijae.
Tuwekeze kwenye kutengeneza mifumo thabiti ya kulinda tunachokikusanya.
Hahahahah you killed on dat 1!
kuna uwezekano wa Tanzania Kukusanya Kodi Kubwa Tu na wafanya Biashara na TRA wakawa na amani na furaha katika utendaji wa majukumu yao.Kuna matatizo Kwenye idara za Serikali pamoja na TRA,ambayo kama ayatofanyiwa kazi tutabaki na lawama kila kukicha,EFD ni chanzo cha mapato Kiduchu na Kila kukicha tutaendelea kukusanya Kodi ndogo ,atuwezi kuongeza mapato hapa nchini kwa mfumo uliopo sasa ndani ya TRA .kwa nyakati tofauti,tofauti nimejaribu kuonana na kushauri hili kwa wahusika,awasikilizi !Why China wanakozalisha 80% EFD machines awazitumii kukusanyia kodi? Why Kenya wana EFD lakini awana Songombingo kama TZ?,Why USA,UK na India no drama kwenye ukusanyaji wa kodi?kule Bandalini ile metered Fuel Pump ipo na inafanya kazi?au bado meli zinashusha mafuta kwa kukadiria??Mungu ibariki Tanzania[emoji120]
Tanzania tunapigwa sana! Ndio maana jamaa wanafoji nyaraka!
Waziri ndiye anapeleka miswaada, na ana team na resouce zote za kuweza kufanikisha hilo.Hizi kodi huwa hazipangwi na wizara kama unavyopanga matumizi ya familia yako, Bunge ndio lenye dhamana la kupanga na kupitisha sheria mbali mbali zinazotumika. Wasiliana na Mbunge wako.
Hoteli ya Mt. Hotel Kilosa, Guest ya Leopard na Elephant Njia panda Moshi tunaomba TRA iwatembelee wajionee wanatoa huduma nzuri sana na risiti za efdRais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Therefore?Waziri ndiye anapeleka miswaada, na ana team na resouce zote za kuweza kufanikisha hilo.
Yaan km kuna mwanya Serikali inapoteza mapato bc ni hapa.Unakuta umenunua bidhaa anakwambia machine ya EFD mbovu anakuandikia risit ya mkono , wengine ndo ivo thaman ya 200000 anakuandikia 50000.Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka pia atoe risiti ambayo hela yake amepokea. Kumekuwa na tabia muuzaji anauza bidhaa ya milioni mbili yeye anatoa risiti ya elfu mbili, nimeagiza TRA hao wote washughulikiwe"
Hii post wale wanaompelekea taarifa wamlatie na hii. Hapa kariakoo tunachokifanya sisi wa maduka ya jumla ni kuwa na vijana wako kumi au ishirini. Kila siku unawapa mzigo kwa masharti wakauze kwa bei tunayowapa faida atajipangia mwenyewe auze kwa bei gani. Jioni analeta hela yangu na hanidai risiti kwanza nakua kama namsaidia maana yeye halazimiki kuwa na hela mkononi ili afanye biashara. Magu aliposema machinga waachwe kila kona ya mtaaa alitusaidia sana sisi wa maduka ya jumla maana sasa hivi hatukwepi kodi tu bali hatulipi kabisa.Wamachinga ndio wanaokwamisha, wanachukua vitu kwa mali kauli kwa wahindi wanamwaga vitu mitaani alafu aje TRA eti anataka kodi alafu machinga anauza vitu nje bila risti hapo serikali itaendelea kupigwa tu