kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Kule ni kutimuana, huku ni kazi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo michezo. Ni waziri wizara nyeti. Michezo atapewa Mnyeti.
Sasa anajenga hoja kutetea huu upande alipo. Majority wanamkubali.
Nilishakubali kuwa hakuwa mbunge nilichanganya madesa, kuna comment nimecomment huko juu kuwa nilichanganyaSio kweli,alikuwa mbunge wa wapi?
Alikuwa Dc Musoma na sio Bukobaila siasa ikikukubali unakula shumbwela sana..ndani ya miaka mitano pole pole katoka kuwa Dc bukoba,kaenda kuwa Dc Ubungo nadhani,, kaenda uenezi,,sasa ni mbunge na kesho atakua waziri..ni ndani ya miaka mitano haya yanatokea
Hahahaaaa....... Jf full burudani!Sio kweli,alikuwa mbunge wa wapi?
Nilisimamia na Nilahakikisha wasimimizi wa uchaguzi na wasaidiz wao wanaingia na vibegi siku ya kupiga kuraPolepole nakuhitaji pm unionyeshe njia uliyoitumia
Uteuzi huu unakishindo let keep silenceView attachment 1637307
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bw. Humphrey Polepole ni Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bi. Riziki Said Lulida kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 1637284
Nimekutapeli nini ?Mimi nikitaka kitu huwa sishindwi. Ningetaka uteuzi kutoka kwa Magufuli ningeshaupa tokea 2015.
Kule ni kutimuana, huku ni kazi tu
Polepole nakuhitaji pm unionyeshe njia uliyoitumia
Mpuuze huyo Salary Slip ni kati ya wapuuzi wa JF.Kwanini kulipa fadhila, kwani hastahili?
Ndicho tunachosubiri mkuu! Yaani ukiwa na siasa za kipumbavu lazima uaibike!Vp nao wataapishwa Garage?[emoji16]
Mmmh Kumbe ndio hivyoooJipendekeze tu na kusifia mpaka ww binafsi uone aibu.
Polepole anaenda pewa wizara. Jembe!View attachment 1637307
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bw. Humphrey Polepole ni Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bi. Riziki Said Lulida kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 1637284
Msinipangie....ndio mnaharibuNi jambo jema.
Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]wazo zuri SanaIla Polepole kujipendekeza kumemsaidia kutoka. Jamaa mbishi na king'ang'anizi. Alikuwa anashinda na kulala channel 10, 2015 kumponda Lowassa tu.
Nafasi yake sasa hivi apewe Joti ama Mpoki