Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Wiaslamu tumechelewa katika hilo.Hatuna jeuri wala ujasiri wa kulikemea hilo leo.Reginald Mengi alifuatwa na akachangia misikiti mingi wakati wa Mwinyi.

Juzi Kigoma Diamond Platinum,mwanamuziki (haramu katika Uislamu,Mzinzi (kwa ushahidi wa kuwa na watoto nje ya ndoa)kajenga msikiti n akaukabidhi huku akiambatana na kimada.
Hospitali za Misheni zinatibia watu wote bila kubagua.

Kwa hili,msimlaumu JPM amefanya kile kilichomsukuma kukifanya.
Waislamu tujitafakari.
 

Una ushahidi wa uzinzi wa mtu?
Unao mashahidi wanne walioshuhudia live jamaa akila mzigo?

Hospitali ni vituo vya biashara. Watu wanatoa hela huko kuhudumiwa!
 
Hapa nilichoona nikile "kunya anye kuku akinya bata ..........."
 
Magufuli amekosea sana,anaichangia mijitu ambayo huwa inatukana hata imani yake,mijitu hii huwa inawaita wengine makafiri,usikute hata sasa humo mioyoni Mwao inaziita hizo hela kuwa ni za makafiri.mfalme wetu nae apunguze kutushangaza.Gwajima akiwa rais ataleta surprise kwenye hiyo misikiti
 
Kama Yesu Kristo wakati wa mateso yake alianguka mara tatu, basi huyo Askofu Mkuu, Paroko na Katibu wa Baraza la Maaskofu, walianguka pia kuchangisha fedha ya kujenga/ kukarabati msikiti ndani ya Kanisa kwa sababu zisizo za msingi kabisa. Sasa sijui kama wamekwisha inuka.
Michango ya msikiti ilibidi ifanyike kwenye eneo la msikiti na wao kualikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…