Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!...nyie raia mna propaganda sana, kwani pesa zote zinazopita mikononi mwetu kuna anayejua zinatoka wapi?Jaribu kupiga picha msikiti unajengwa na mchango wa mgalatia kwa fedha alizopata faida kwenye biashara ya kitimoto...
Missile of the Nation,
Mbona mmechangiwa vitu vingi na wakristo kikiwemo chuo kikuu cha Waislamu pale Morogoro!
Kingine sina Hakika kama Mungu wa waislamu ndo Mungu wa Wakristo.
Hapa mtu unaweza ukajikuta unachuma dhambi bila kujua.
Sisi wakristo tunajua Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu. Siwezi kuchangia ujenzi wa msikiti au ujenzi wa shaulin temple ili Mungu mwingine aka abudiwe. Kwa imani yangu iyo ni dhambi.
Wenye dini yao wala hawana tatizo na hilo suala la michango. Nchi yetu sote hii na wala sio mara ya kwanza kuchangiana ujenzi wa makanisa na misikiti. Tatizo kila jambo linachanganywa na siasa.
Ni juzi tu Joketi Mwogelo Mkuu wa Wilaya Kisarawe amechagua ujenzi wa Msikiti na Waislamu wenyewe wamechagua kuwa mlezi wa kamati ya ujenzi.
Anazungumzia msikiti!Missile of the Nation,
Mbona mmechangiwa vitu vingi na wakristo kikiwemo chuo kikuu cha Waislamu pale Morogoro!
We mtoa post umekosea sana na udini unakusumbua,nataka tu kukukumbusha kwamba Rais ni kiongozi wa nchi na nchi haina dini
Ww sio mkristo, kuna wakristo jina wasiofuata misingi ya ukristo. Msingi mkuu wa ukristo ni kutangaza injili ya kristo kote duniani ili mataifa wamjue Yesu. Sasa hayo misikiti inatangaza habari za kristoAcheni umbea na uzwazwa mimi ni.mkristo na nimeshachangishwa ujenzi mbal mbal za misikiti.kma ww huna cha kuchangia kaa kimya .hiyo mnayoswalia mnajua ilijengwa na nani? Na vyanzo vya mapato ya kuijenga mnaifahami au ni unafiki
Hakuna anayekataa au kukataza watu kuchangishana lakini kuna utaratibu wake. Huwezi kuchangisha sadaka ndani ya Kanisa wakati wa ibada ya kikristo kwenda kujengea nyumba ya ibada ya wasio wakristo.Acheni umbea na uzwazwa mimi ni.mkristo na nimeshachangishwa ujenzi mbal mbal za misikiti.kma ww huna cha kuchangia kaa kimya .hiyo mnayoswalia mnajua ilijengwa na nani? Na vyanzo vya mapato ya kuijenga mnaifahami au ni unafiki
Umemaliza Mkuu.Hakuna anayekataa au kukataza watu kuchangishana lakini kuna utaratibu wake. Huwezi kuchangisha sadaka ndani ya Kanisa wakati wa ibada ya kikristo kwenda kujengea nyumba ya ibada ya wasio wakristo.
Sadaka ina utaratibu wake. Sadaka inapotolewa, ni lazima anayetoa awe na kusudi lake kwa Mungu. Ndiyo maana hata harambee za kijamii zinazofanywa na wakristo, hazifanyiki ndani ya Kanisa ambako ni madhabahu ya bwana.
Ndani ya Kanisa, kwa imani ya kikristo, ni nyumba ya Mungu. Ile tebanakuli inaashiria uwepo wa Kristo Mzima katika umbo la mkate na divai. Ndani ya Kanisa kunastahili kufanyika mambo ya ibada tu. Mathalani ingetokea waislam walikuwa msikitini, wamepatwa na ajali ya moto au jengo limewaangukia, kufanya mchango katikati ya ibada ni halali, kwa sababu ni tendo la huruma, na hiyo tumeagizwa na Kristo mwenyewe.
Michango isiyo ya kiibada ina utaratibu wake. Wakristo au waislam au mwingine yeyote, anapokuwa mahali pengine popote anaruhusiwa, na wala siyo tatizo kuchangia chochote. Kwaajili ya arusi watu wanachangishana. Lakini huwezi kusikia kwenye ibada Kanisani , watu wakachamgishwa kununua bia za sgerehe ya arusi.
Unapofanya jambo lolote, zingatia mahali, wakati na tukio.
Kuchangisha kwaajili ya ujenzi wa msikiti si jambo baya, lakini mchango huo hauwezi kufanyika kwenye ibada ya wakristo ambao hawaamini uwepo wa mtume, halafu mchango huo uende kwaajili ya wasioamini umungu wa Kristo. Kutoamini kuwa Kristo ni Masiha, Mwana wa Mungu, Mungu Kamili, Nafsi ya tatu ya Mungu, kiimani ni kumkufuru Roho Mtakatifu.
Mchango huo ulistahili kufanyika kijamii na siyo kiibada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza kwani zile fedha zilizochangwa hazistahili kujengewa msaikiti?
Hoja si kuomba msaada ..nadhan hoja inafaa kuwa unaenda kusali ikiwa na nia ya kusali ama unaedna kusali ukijiuliza pesa za kujenga zimetoka wapi!!?Mbona wakati kanisa lile linajengwa hakwenda msikitini kuomba waisamu nao wachangie ujenzi wa hilo kanisa?
Hahaha Magufuli akiwapa hiyo mahakama ya kadhi nayo mtakataa kwasababu ni mkristo.Anawashurutisha Wakiristo kufanya ibada zisizo zao!
Wakiristo walikataa Mahakama ya kadhi kwa hoja kuwa kodi zao zisitumike kwenye ibada ya wengine, sasa leo Magufuli anakwenda kanisani kuwachangisha ili ijengwe nyumba ya kuabudia isiyo ya ibada yao!
Kama Magufuli ni Mkiristo mwenye kuwapenda waislamu na ibada yao basi awape mahakama ya kadhi kwanza!
Ni mpumbavu pekee ndio atahoji kwa ubaya maamuzi ya Rais kuchangisha mchango wa ujenzi wa msikiti kanisani
sio kwamba waslamu au Rais hawana hera za kujenga msikiti ila JPM alitaka kuonesha jinsi watanzania tulivyo wamoja hatuna udini wala ukabila
kwa lugha nyingine ni salaam kwa mabeberu
Mwambie atupe na Mahakama ya Kadhi
Hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi anahitaji kura za watu wa imani zote.Ni mpumbavu pekee ndio atahoji kwa ubaya maamuzi ya Rais kuchangisha mchango wa ujenzi wa msikiti kanisani
sio kwamba waslamu au Rais hawana hera za kujenga msikiti ila JPM alitaka kuonesha jinsi watanzania tulivyo wamoja hatuna udini wala ukabila
kwa lugha nyingine ni salaam kwa mabeberu