Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Ni mpumbavu pekee ndio atahoji kwa ubaya maamuzi ya Rais kuchangisha mchango wa ujenzi wa msikiti kanisani

sio kwamba waslamu au Rais hawana hera za kujenga msikiti ila JPM alitaka kuonesha jinsi watanzania tulivyo wamoja hatuna udini wala ukabila

kwa lugha nyingine ni salaam kwa mabeberu

Huujui uislam na sheria zake ungefunga bakuli lako tu.Acheni kuingiza siasa kwenye dini.Rais kawakosea sana waislam. Na niwaislam wapumbavu na wafia njaa ndio watakao kubali kuzipokea hizo pesa zilizochangwa kanisani.
 
Uslamu ni USAFI na USTAARABU na KUSAIDIANA

nakushauri endeleza kupinga mpaka mwisho wa dunia
Huujui uislam na sheria zake ungefunga bakuli lako tu.Acheni kuingiza siasa kwenye dini.Rais kawakosea sana waislam. Na niwaislam wapumbavu na wafia njaa ndio watakao kubali kuzipokea hizo pesa zilizochangwa kanisani.
 
Serikali ya KIKRISTO Tanzania chini ya uongozi thabiti wa MKATOLIKI JOHN WA KWANZA ANAJENGA MISIKITI KWA SADAKA ZA CHAIR-FIRE
 
Nilisema na naendelea kusema.

Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ukielewa hilo, huwezi kushangaa kuchanganyika kwa dini na siasa.

Dini ni siasa!
 
Uchaguzi uwe huru na haki kwanza.
Watu wakipata viongozi sahihi bila wizi na udanganyifu wakati wa kupiga kura utakua watajipatia maendeleo makubwa na hatimaye wajijengea uwezo wa kujenga nyumba zao za ibada.

Huwezi kumpenda Mungu usiyemuona wakati huo huo unamchukia Jirani yako unayemuona.
 
Ndugu zangu , Amani iwe juu yenu pamekuwepo na madai na majitapo mengi kutoka kwa baadhi ya political laymen tangu jana baada ya baba mwenye nyumba kutembeza bakuli kanisani kuomba fedhwa za kujenga msikiti,

Hapo nina maswali mawili matatu.

Moja, Baba mwenye nyumba alitumwa na masheikh kuwaombea michango kanisani, bila shaka mamlaka za waislamu zitatujulisha.

Pili, Je ni upendo wa baba mwenye nyumba kwa wapangaji wake kutaka kuonesha religious equilibrium katika kipindi hiki cha kutafuta political pasture?, sina hakika sana kama iko hivyo.

Tatu, Ni uumini na uchamungu wa kiwango cha juu cha baba mwenye nyumba?, nadhani hili ni jibu sahihi.

Nne, Ni ipi hukumu ya kisheria katika dini ya uislamu kujenga msikiti kwa fedhwa ambazo yakinani zimetokea kanisani bila wasiwasi wowote?

Hapo maulama watatusaidia

Tano, Je hili halina athari yoyote kisiasa khasa wakati huu wa uchaguzi?

Sita, Ni lini msikt wa mfalme wa Moroko utazinduliwa nao waislamu wachangie kanisa?
Katumwa una jingine? Walikuwa na hiyari kutoa au kuacha
 
Pesa ya kitimoto kujenga masjid
Ziko advantages and diadvateges katika hili tukio. Pengine alivutwa na uzuri wa kanisa akatamani na msikiti uwe hivyo lakini haiondoi question mark why! Na hii ndio sababu watu wanasema hili na lile vinginevyo wangekaa kimya.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Ktk kutafuta madaraka utawaona kama ni zaid ya wema,subiri wayapate hayo wanayoyataka utawaona rangi zao halisi
 
Msisahau jp ni Raisi. na uraisi wake utakoma siku akiapishwa Raisi mwingine

nikiwa kwe taasis flan ya serkal tulwah kujitolea wote kwa umoja wetu kujenga msikiti ili na wengine baada ya sie kuondoka wasali pale
alkuja kuufungua shee wa wiliya tena alkua maarufu kwe uislam na sikumskia akikashifu zaidi ya kushukuru sana kwamba wamepata sehem ya kuabudia
It was 90ş ila hadi leo unatumika
kama mlipokea msikiti wa diamond kama mlipokea msikiti wa shkuba why not present?

huu uzi hauna maana yani ni takataka
 
Ni mpumbavu pekee ndio atahoji kwa ubaya maamuzi ya Rais kuchangisha mchango wa ujenzi wa msikiti kanisani

sio kwamba waslamu au Rais hawana hera za kujenga msikiti ila JPM alitaka kuonesha jinsi watanzania tulivyo wamoja hatuna udini wala ukabila

kwa lugha nyingine ni salaam kwa mabeberu
Umoja wa kulazimisha mkuu?
 
Umoja wa kulazimisha mkuu?
alilazimishwa nani kuchangia?
badala mshukuru mmepata kianzio cha ujenzi mko hapa kuharisha
kataeni na ule msikiti alowaombea kwa mfalme wa Morocco bas maana c mkristo ndo aliwaombea
 
Anawashurutisha Wakiristo kufanya ibada zisizo zao!

Wakiristo walikataa Mahakama ya kadhi kwa hoja kuwa kodi zao zisitumike kwenye ibada ya wengine, sasa leo Magufuli anakwenda kanisani kuwachangisha ili ijengwe nyumba ya kuabudia isiyo ya ibada yao!

Kama Magufuli ni Mkiristo mwenye kuwapenda waislamu na ibada yao basi awape mahakama ya kadhi kwanza!
Duh? unaturudisha wapi bwashee
 
Yeye ni mwafrika so kusaidia Waafrika wenzake usifanye nongwa
 
Ndugu zangu , Amani iwe juu yenu pamekuwepo na madai na majitapo mengi kutoka kwa baadhi ya political laymen tangu jana baada ya baba mwenye nyumba kutembeza bakuli kanisani kuomba fedhwa za kujenga msikiti,

Hapo nina maswali mawili matatu.

Moja, Baba mwenye nyumba alitumwa na masheikh kuwaombea michango kanisani, bila shaka mamlaka za waislamu zitatujulisha.

Pili, Je ni upendo wa baba mwenye nyumba kwa wapangaji wake kutaka kuonesha religious equilibrium katika kipindi hiki cha kutafuta political pasture?, sina hakika sana kama iko hivyo.

Tatu, Ni uumini na uchamungu wa kiwango cha juu cha baba mwenye nyumba?, nadhani hili ni jibu sahihi.

Nne, Ni ipi hukumu ya kisheria katika dini ya uislamu kujenga msikiti kwa fedhwa ambazo yakinani zimetokea kanisani bila wasiwasi wowote?

Hapo maulama watatusaidia

Tano, Je hili halina athari yoyote kisiasa khasa wakati huu wa uchaguzi?

Sita, Ni lini msikt wa mfalme wa Moroko utazinduliwa nao waislamu wachangie kanisa?
Hakuna laana mbaya kama ya ubaguzi. Tangu lini sisi wakristo tukawakataa waumini wa kislam wasitumie miundombinu yetu? hospital na mashule?. Watanzania ni ndugu kitendo cha mh. JPM ninakipongeza na kinatakiwa kuigwa kwa viongozi wengine. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom