Forforty
Member
- Nov 13, 2019
- 85
- 87
Ni mpumbavu pekee ndio atahoji kwa ubaya maamuzi ya Rais kuchangisha mchango wa ujenzi wa msikiti kanisani
sio kwamba waslamu au Rais hawana hera za kujenga msikiti ila JPM alitaka kuonesha jinsi watanzania tulivyo wamoja hatuna udini wala ukabila
kwa lugha nyingine ni salaam kwa mabeberu
Huujui uislam na sheria zake ungefunga bakuli lako tu.Acheni kuingiza siasa kwenye dini.Rais kawakosea sana waislam. Na niwaislam wapumbavu na wafia njaa ndio watakao kubali kuzipokea hizo pesa zilizochangwa kanisani.