peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Uchaguzi 2020 tutaona na kuisikia mengi.ila muhimu watanzania wekeni uelewa mbele Hali ya mwananchi mmoja mmoja ni mbaya kupita kupindukia. Kwa miaka hii mitano Rais amechukua madaraka makubwa mnoooo na haswa alipoichukua tamisemi ikawa ofisini kwake.KWELI LEO KANISA KATOLIKI LA MITUME LINAJENGA MSIKITI?
Naanza kuamini maneno yaliandikwa Ufunuo 13.
Mimi nakushukuru kwa hatua hiyo, Askofu anajenga Msikiti? Hii imezidi upya wake. Askofu akikusanya sadaka zinabarikiwa kuwa takatifu, na kwa maana hiyo Askofu ametoa katika hazina Takatifu!Mimi ni Mlei nimeshatuma fax Vatican kuelezea hichi kinachoendelea.
Huyu lisu wenu ambehajielewii ndo awe mzimu wa magufuli? Huyu ambaye hatahajui kuongea lisu wenu ndo ampe wasiwasi jemadari magufuli. Hivi ukisikia maneno ya lisu anafanana hatakuwa na sifa ya kugombea ubarozi wa nyumba kumii?? Kwa huyu lisu wenu mumechemsha saaanaa. Bora mungempa kidooogo mbowe au nyaranduuu agombee uraisi sio huyooo jamaa yenuuu.Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
[emoji1787][emoji1787]Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Yule aliyeanza kampeni mapema?!nani mwingine zaidi ya yule msiyempenda kwasababu amewazidi akili?
Mtu yeyote ukitaka kumuua halafu Bahati mbaya ukamkosakosa kila ukimuona lazima uweweseke.Huyu lisu wenu ambehajielewii ndo awe mzimu wa magufuli? Huyu ambaye hatahajui kuongea lisu wenu ndo ampe wasiwasi jemadari magufuli. Hivi ukisikia maneno ya lisu anafanana hatakuwa na sifa ya kugombea ubarozi wa nyumba kumii?? Kwa huyu lisu wenu mumechemsha saaanaa. Bora mungempa kidooogo mbowe au nyaranduuu agombee uraisi sio huyooo jamaa yenuuu.
yes yule aliyeanza kugawa rushwa ya maburungutu ya pesa kwenye misafara yake.Yule aliyeanza kampeni mapema?!
Wewe ndio haikusaidii, unapoteza Mbs zako bure.Haimsaidii, anapoteza muda wake
Hiyo harambee aliyofanya hapo kanisani ya kuchangia msikiti kwa nini asiende hukohuko msikitini?Kama sio kampeni ni nini?Dr Magufuli ni muumini wa Kanisa Katoliki siyo mwanasiasa bwashee!
Nadhani tu bado hajafanya organisation vzr sababu kea Mungu siasa tunaziacha kidogo pembeni sababu yy no Alfa na OmegaHivi mbona makanisa mengine na misikiti hatusikii uzinduzi wake ukirushwa live na televisheni ya taifa?
Watanzania wa sasa werevu sana.
Tilimwomba? Waislam ndiyo matajiri nchi hii hawashindwi kujenga makao makuu ya Bakwata hata makubwa kuliko PSPF Twin Tower
Yule aliyeogopa kutimba Zanzibar kusaka wadhamini?yes yule aliyeanza kugawa rushwa ya maburungutu ya pesa kwenye misafara yake.
yes yule aliyenunua jogoo kwa laki moja.Yule aliyeogopa kutimba Zanzibar kusaka wadhamini?
Ndio, fedha zilizochangwa zinapelekwa huko huko msikitini!Hiyo harambee aliyofanya hapo kanisani ya kuchangia msikiti kwa nini asiende hukohuko ?Kama sio kampeni ni nini?
Usisahau kua Ni muumini wa kkkt pia mkuuDr Magufuli ni muumini wa Kanisa Katoliki siyo mwanasiasa bwashee!
Ni Yeye!yes yule aliyenunua jogoo kwa laki moja.