Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti


Huyu mzee Lissu anamchanganya sana. Hizi kick haziwezi kumsaidia chochote.
 
Waislamu tusikubali tutasimangwa Sana na wakiristo
 
Kosa sio la rais kosa ni kwamba kanisa limetoa nafasi kuchezewa, wacha pichezewe!

IGP na TUME YA UCHAGUZI,

kuchangisha FEDHA KANISANI za kujengea MSIKITI siyo KAMPENI?

Je, WAISLAMU waliwaomba WAKRISTO msaada wa kujengea MSIKITI?
 
Mtukufu moi
 
Dini imekua kichaka cha kuficha maovu ya ccm......

Shida ya magufuli sio waislamu bali shida yake ni ponda
Hivi JPM si angeenda huko msikitini kukusanya hiyo harambee.

Sifa za kijinga hizi.
 
Sio mwanasiasa na siasa sijui.kila mtu ja imani..kuita wakatoliki waovyo ni upumbavu..utajisikiaje ukiskia uislamu ni dini ya ovyo
Mimi ni mkatoliki niliyebatizwa na kupata kipaimara na askofu. Nasema hivi katoliki ya leo ni ya hovyo hasa hii ya tanzania.
 
Siyo mbaya kwa wenzetu Wakristo kutuchangia, lakini kwa uwelewa wangu finyu nadhani hii haiko sawa. Hawa tunaowaita makafiri watajengaje nyumba yetu ya ibada?

Mh.Rais Magufuli amechangisha fedha za kujenga msikiti huko chamwino Dodoma akiwa katika ibada ya Jumapili leo tarehe 23/8/2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…