Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Yes....chukua mioyo yao,,waachie akili zaoTactic ya ku win waislamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes....chukua mioyo yao,,waachie akili zaoTactic ya ku win waislamu!
CCM wanalinajisi kanisa
Naunga mkono hoja.Huu msikiti ukiisha upewejina la Masjid Magufuli.
Rais Dkt.John Magufuli amechangisha mchango kwaajili ya ujenzi wa Msikiti wakati aliposhiriki Ibada katika Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Agosti 23, 2020.
ITV Tanzania
Huku mkiendelea 'Kunichukia' GENTAMYCINE nawashaurini sana 'Wanasisa' acheni Kucheza na Imani za Watu na Kuwachokoza kiasi hiki ni hatari.
huu msikiti ni wa kanisa, pesa imetolewa kanisani.Huu msikiti ukiisha upewejina la Masjid Magufuli.
Waislamu tusikubali tutasimangwa Sana na wakiristoRais Ametoa pongezi wa waumini wote na watu wasio waamini wa dini ya kikristo kwa ufadhili wa ujenzi wa kanisa hilo la Roma Chamwino Dodoma, amesema yeye alichangia kidogo kulingana na uwezo wake ila wapo waliochangia zaidi kwa kiashi kikubwa na kidogo lakini wote walishiriki kwa pamoja kulijenga kanisa hilo.
Amesema Parokia ya Chamwino ina upendo mkubwa na ni mahali salama na hapo kweli uwepo wa Mungu upo, amesema kwa kuwa hapo ni makao makuu lazima pazungukwe na watu wanaomtukuza Mungu na sio wa dhehebu moja tu bali wa madhehebu mbalimbali
Ameomba ruhusa kutoka Kwa Askofu wa kanisa hilo wachangie hela wawajengee waislam Msikiti kwa kuwa waislam wana msikiti mdogo , amtoa sabau kuwa wao pia wanahitaji kumtukuza Mungu na hata baadhi ya wasaidizi wake wengine ni waislam. ameomba ruhusa achukue kikapu achangishe fedha za ujenzi wa msikiti na Baba askofu aziwasilishe kwa Shehe wa msikiti huo.
Katika hilo Baba askofu ametoa ruhusa na yeye kuchangia kiasi cha sh. laki mbili. na wengine waliendelea na uchangiaji wa msikiti huo.
Kosa sio la rais kosa ni kwamba kanisa limetoa nafasi kuchezewa, wacha pichezewe!
Sio mwanasiasa na siasa sijui.kila mtu ja imani..kuita wakatoliki waovyo ni upumbavu..utajisikiaje ukiskia uislamu ni dini ya ovyoHuu msikiti utakuwa ni msikiti wa kanisa.
Mtukufu moiZamani , marehemu Mzee Moi kila siku ya ibada ndiyo ilikuwa habari kuu kwa jirani zetu. Leo yametukuta.
Nakumbuka Moi alikuwa mtawala wa mkono wa chuma. Hii ya kwetu sijui ni ya mkono shaba. Mungu awasaidie WaTz kuvuka ktk kipindi hiki cha kusifu na kuabudu
Hivi JPM si angeenda huko msikitini kukusanya hiyo harambee.Dini imekua kichaka cha kuficha maovu ya ccm......
Shida ya magufuli sio waislamu bali shida yake ni ponda
Waislamu tusikubali tutasimangwa Sana na wakiristo
Mimi ni mkatoliki niliyebatizwa na kupata kipaimara na askofu. Nasema hivi katoliki ya leo ni ya hovyo hasa hii ya tanzania.Sio mwanasiasa na siasa sijui.kila mtu ja imani..kuita wakatoliki waovyo ni upumbavu..utajisikiaje ukiskia uislamu ni dini ya ovyo
Bora yeye ana kilema cha kusababishwa na wanaadamu wenye husuda. Na wale wenye vilema rohoni na akilini Je ?!Sasa hivi anakilema cha maisha. Mungu ameamua asife ili aone maendeleo yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 aliyokuwa anasaliti kwa mabeberu!!
unaongea na mimi au unaongea na simu?Sio mwanasiasa na siasa sijui.kila mtu ja imani..kuita wakatoliki waovyo ni upumbavu..utajisikiaje ukiskia uislamu ni dini ya ovyo
Hahaha yaani kampeni zote amefanya miaka 5 akisaidiwa na vyombo vyote vya habari na dola bado tu Lissu anamchanganya😅😅Anatafuta kiki tu aonekane anakubalika kwenye makundi ya kijamii
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app