MkuuMkuu,
Unaonekana ni mtu wa maana sana. Sina uhakika na hilo. But yeah at least unaonekana ni mtu!
Unajua mimi sijasema kwamba huu mchukiano ni two way traffic, kaa yupo anaesema hivyo aje atoe hoja zake.
Mimi ninachosema historia ya nchi yetu ni kwamba wakristo hususan wakatoliki wamekuwa wakiwachukia waislam (historically) na labda niseme hili ni tatizo la kimfumo zaidi kuliko individuals maana sote tunaishi vizuri kwa nje.
Hoja ikaja kwamba, aliyoyafanya Mheshimiwa rais magufuli ndio yanapingwa hapa na mimi nikafikia kuelezea kwamba hakutokuwa kamwe na mapenzi hayo ambayo yeye Mheshimiwa rais ametaka kuya portray kwa sababu chuki kutoka kwao (wakristo hususan wakatoliki) kwa uislam au waislam ni kubwa zaidi kuliko mapenzi yao.
Hebu imagine tu brother, katika umri wako na pengine kwa elimu yako eti Leo ndio Unamjua Sheikh Suleiman Takadir?? Sikulaumu mkuu ni mfumo ndio uliopelekea hivyo. Kwa hiyo lililofanyika ni geresha tu au danganya toto na wala si kwa mapenzi ya dhati ya wakristo juu ya uislam. Ukweli ni ule aliousema GWAJIMA juu ya miskiti, kwamba ataugeuza kuwa Sunday schools ile ni chuki ya hali ya juu na yale ni machache tu aliyoyasema ambayo kwa chuki ilimvyomjaa alishindwa kuendelea kukaa nayo moyoni.
Allah anatuambia kwamba ubaya wao (makafiri) waudhihirishao dhidi yetu (waislam) ni mdogo mno ukilinganisha na ule waufichao vifuani mwao.
Ukweli ni ule wa waziri lukuvi juu ya kauli anazozitoa kuhusu Zanzibar na mengine mengi mno mno mno mno.
Kwa hiyo ndugu yangu kimfumo, huu upendo kamwe hautokuwepo. Ile kuchangisha pesa ni geresha tu au nyinyi mnaita siasa tu.
Binafsi nadhani sio vizuri kujikita kwenye vitu tunavyohisi vinatugawa kwa kigezo cha dini hasa kwa vizazi vyetu vya sasa.
Mzee Suleiman Takadir alikuwa na hoja genuine kabisa kibinadamu. lakini tunaambiwa alikufa kwa kihoro baada ya kutengwa socially na wenzake.
Inasemekana alikuwa akisalimia haitikiwi, akienda kununua vitu kariakoo hela yake haipokelewi.
Sijajua mchango wa wakatoliki katika hilo hadi kusema wakatoliki/wakristo wanawachukia waislam, kwa sababu ninaamini waliokuwa wakikataa salaam zake na hela yake pale Kariakoo bila shaka walikuwepo na waislam pia.
Ni kweli kuna waislam wenye chuki isiyopimika juu ya wakatoliki/wakristo, lakini pia wapo waprotestant wenye chuki mbaya sana dhidi ya wakatoliki (and vice versa) na wapo wakatoliki/wakristu wenye chuki mbaya sana dhidi ya waislam.
Lakini ukweli ni kuwa, hao ni wachache saaaaana kuliko watanzania wasiochukiana kwa kigezo cha dini.