Majibu haya ni sahihi na hii ipo hadi kwenye biblia, habari ya mwana mpotevu aliporejea nyumbani..wazazi walifurahi na kufanya karamu lkn kaka mtu alinuna.Hata Lowasa alipopewa nafasi ya kugombea Urais kuna mabavicha walisusa kabisa, Dr. Slaa mwenyewe akajiuzulu sasa ni Balozi huko. Binadamu wana mioyo ya nyama hivyo inaeleweka katika kundi la watu sio wote wataofurahia maamuzi flani , ingawa nayo inataka moyo kuweka wazi baadhi ya mambo. Na kuelezana fikra ni utamaduni mzuri kuliko kuishi huku mtu akiwa na kinyongo.
Bora awape waliotoka upinzani kwani waliopo ccm waimbe mapambio inatoshaVijana wa CCM kichwani Ni epmty ndo
maana jpm anawateua waliotoka upinzani.
umenisema mimi sasa wewe ndo unaju kuandika namna hii? nasisitiza wewe ni bwegeNa bado hii nikwasababu vijana wa ccm 90% wameka lingi
Yule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Bora awape waliotoka upinzani kwani waliopo ccm waimbe mapambio inatosha
Tatizo chama kina watu wengi wenye uchu wa madaraka bila hata kujipima juu ya uwezo wao kiuongozi ndo maana wanona kama nafasi zinawastahili wao tu.Mbunge au Diwani wa Upinzani akiunga juhudi TUNAMSHANGILIA, Akiteuliwa au kupewa Cheo ROHO ZINATUUMA hii imekaaje wanachama wenzangu?
umenisema mimi sasa wewe ndo unaju kuandika namna hii? nasisitiza wewe ni bwege
Hata Lowasa alipopewa nafasi ya kugombea Urais kuna mabavicha walisusa kabisa, Dr. Slaa mwenyewe akajiuzulu sasa ni Balozi huko. Binadamu wana mioyo ya nyama hivyo inaeleweka katika kundi la watu sio wote wataofurahia maamuzi flani , ingawa nayo inataka moyo kuweka wazi baadhi ya mambo. Na kuelezana fikra ni utamaduni mzuri kuliko kuishi huku mtu akiwa na kinyongo.
Wakati mnawanunua hao wasaliti mlikata viuno kuwashangilia,Dua la kuku
halafu ni bora ujifanye unajua sana halafu unachoandika ukijue kweli sio unakurupuka tu kama nyumbu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uko sawa
halafu ni bora ujifanye unajua sana halafu unachoandika ukijue kweli sio unakurupuka tu kama nyumbu.
ona sasa unavyozidi kujidhihirisha ukilaza wako ndo nini sasa umeandika hapo mtoto wa kambo?L7 at your work
Wapige vinanda na vinubi pia wakati waliorejea wakila mezani na Farao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kazi ya kuimba inawatosha.
Duh, kisu kimegonga mfupa pole sana kamanda.Lowasa yupi huyo? Au unamsema Lowasa mliyekuwa mnamtukana matusi ya ajabu kisa kahamia cdm?
Leo hii yupo ccm kwenu mnamramba viatu maana hamna cha kumfanya kwani mwenye chama chake kaamua kuwakomoeni na kuwalazimisha mle matapishi yenu.
Wape salaam kina Msukuma, pole pole na wewe na kikundi chako cha kuwatukana watu na kuwakashifu kisa itikadi za kisiasa.
Kwa mbali naziona akiliHata Lowasa alipopewa nafasi ya kugombea Urais kuna mabavicha walisusa kabisa, Dr. Slaa mwenyewe akajiuzulu sasa ni Balozi huko. Binadamu wana mioyo ya nyama hivyo inaeleweka katika kundi la watu sio wote wataofurahia maamuzi flani , ingawa nayo inataka moyo kuweka wazi baadhi ya mambo. Na kuelezana fikra ni utamaduni mzuri kuliko kuishi huku mtu akiwa na kinyongo.
Namkumbuka mpaka Yesu wa Nazareti.Daudi Mchambuzi unamkumbuka jack Zoka wa kanada?