Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Mshaanza kutishana wenyewe kwa wenyewe? CCM mna laana mbaya sana.
[/QUOTE
Kwa hiyo ni wazi Bbt CCM Mgombea ni paulina in Polepoles voice!!
Magufuli na Polepole walikuta ccm imetengenezwa ila muda wao ukiisha wataiacha vipandevipandeView attachment 1502731
Nashauri Pole Pole azungumze Ni kwa Sheria gani, vinginevyo awajibike
Hii barua itakuwa fake kawadanganye wana Faru John wenzio.View attachment 1502731
Nashauri Pole Pole azungumze Ni kwa Sheria gani, vinginevyo awajibike
Huyu naye mambo yetu wana CCM yanamuwasha nini?
CCM chotara inaweza kuwa hatari kuliko CCM asili na CCM makinikiaHuyu naye mambo yetu wana CCM yanamuwasha nini?
David Silinde ajiandae, labda ashinde kwa nguvu ya dola.Hili litawagharimu ccm pakubwa mno