barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kibiashara kuanza kutoa gawio maana yake Total Revenue ni kubwa kuliko Total Cost.
Au kwa sasa running cost zote ziko covered na bado pesa inabakia.
Kuna vitu ni vya ajabu kidogo, hizi SU Shirika la Umma zinazotoa gawio maana yake zimesimama na zimejitosheleza kabisa.
Chuo kama IFM maana yake hakihitaji pesa kutoka serikalini kulipa mishahara Wahadhiri.
Au ndo mambo ya TTCL wanatoa gawio hapo hapo wanaomba pesa tena zaidi.
Kitakachoangamiza hii nchi ni maigizo.
Nimefurahi kuiona NIDA, naona wamefanya majukumu yao kwa ukamilifu mpaka "chenji" imebaki.
Ni hakika wanahitaji pongezi.
Mbona TANROADS hawaonekani
Gawio ndo dividends...!?
Wizara,Ikulu hazitoi gawiwo ?
Kwa hiyo hapo ni 1.7Tr toa 2.1B, serikali watafute inayobaki wajumlishie na hiyo 2.1B hapo wawarudishie TTCL wajenge miundo mbinu. Maisha lazima yaende.Kiukweli mashirika ya umma yenye uwezo wa kiukweli wa kutoa gawio hayazidi 5. Nayo ni kama TPA, NSSF,TRA, nk.
Hayo mengine itakuwa ni maigizo tu. Yatatoa kwa mkono wa kushoto na kurudisha kwa mkono wa kulia.
Imagine shirika kama TTCL linapata wapi ziada na kwa biashara gani? Kwenye biashara ya simu 95% iko dominated na Vodacom, Tigo, Airtel na Halotel. Hiyo 5% ndipo TTCL na Smile, Benson wana share. Sasa TTCL watapata wapi mabilioni ya kurejesha kama gawio?
Mwezi Mei TTCL walikuwa wanaiomba Serikali itoe dhamana wakakope Tsh 1.7 Trilioni ili waboreshe miundombinu yao. Wakati huo huo wakaipa Serikali gawio la Tsh 2.1 Bilion.
Hii magawio ya Mashirika ya Tanzania ni usanii mtupu.
Haya magawio ni maigizo kakaKwenye hizi zinazo itwa Gawio nakuta kwamba TANAPA gawil lao linazidiwa na TCRA, je TCRA wanafanya biashara gani kubwa kuliko wanauo ifanya TANAPA?
Tanapa ni Billion 44 Gawio.
TCRA ni Billion 85 point kadhaa bilion.
Haya magawio ni maigizo kaka
Usishangae hadi atcl wanatoa gawio
Kiukweli mashirika ya umma yenye uwezo wa kiukweli wa kutoa gawio hayazidi 5. Nayo ni kama TPA, NSSF,TRA, nk.
Hayo mengine itakuwa ni maigizo tu. Yatatoa kwa mkono wa kushoto na kurudisha kwa mkono wa kulia.
Imagine shirika kama TTCL linapata wapi ziada na kwa biashara gani? Kwenye biashara ya simu 95% iko dominated na Vodacom, Tigo, Airtel na Halotel. Hiyo 5% ndipo TTCL na Smile, Benson wana share. Sasa TTCL watapata wapi mabilioni ya kurejesha kama gawio?
Mwezi Mei TTCL walikuwa wanaiomba Serikali itoe dhamana wakakope Tsh 1.7 Trilioni ili waboreshe miundombinu yao. Wakati huo huo wakaipa Serikali gawio la Tsh 2.1 Bilion.
Gawio kwa kiingereza ni dividend na inatafasiriwa ifuatavyo;
A dividend is a payment made by a corporation to its shareholders, usually as a distribution of profits. When a corporation earns a profit or surplus, the corporation is able to re-invest the profit in the business (called retained earnings) and pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders.
Shurti upate ziada inayotokana na biashara, utoe kiasi cha uwekezaji ndiyo upate cha kugawana na wanahisa.
Hii magawio ya Mashirika ya Tanzania ni usanii mtupu.
At least least wana enormous revenues na waki control operating costs wanaweza waka generate income. Wanatengeneza model ya retention na kukubaliana na Serikali.NSSF, TRA sio profit making organisation, wanapataje faida na kutoa gawio?
Impliedly ndiyo hivyoKwa hiyo hapo ni 1.7Tr toa 2.1B, serikali watafute inayobaki wajumlishie na hiyo 2.1B hapo wawarudishie TTCL wajenge miundo mbinu. Maisha lazima yaende.