ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,859
Naona mwisho mpaka MUHIMBILI na shile ya Jangwani nao watatoa gawio.Mkuu ni kichekesho. Hata taasisi zisizofanya biashara nazo zinatoa gawio alafu baadae wanaomba pesa kwa ajili ya miradi yao.
Hizi siasa.
Ficha ujinga wako basiAt least least wana enormous revenues na waki control operating costs wanaweza waka generate income. Wanatengeneza model ya retention na kukubaliana na Serikali.
Ila don't asume kuwa kila mtu ni mtupu kama wewe.
Kesha haribu nchi huyu Mzee anahangaika ovyo tu sasa kwenda mbele
Huyu wa posta alilazimishwa mwaka jana akatoa gawio, kumbe ndio mtaji wake hoi taabani , mwaka huu kashindwa, wenzake wamekwangua reserves baada ya profitsWengine huwaoni umemuona huyu wa Posta?
Jitahidi kufanya utafiti kabla ya kuiibu mada zanguYalikuwa yanakwenda huko huko yanakotoka. Hushangai baada ya kutoa gawio haohao tena wanaomba gawio tena kubwa zaidi?
Fedha za kurubuni madiwani ni sh ngapiUnafikiri hela za kuwarubuni hao wabunge na madiwani zilikuwa zinatoka wapi?
Usifikiri mimi ni mtupu kama wewe. Rudi kasome post yangu, nimeongele model ya retention ambayo itakuwa imbedded kwenye revenue structure. As long as wana Income Statement then kila wanapokusanya say Tsh X, wanajua X- .9 ni transfers, na hiyo .1x ndiyo inayobaki ndiyo wana rentention yao ambayo watatoa costs na dividendaFicha ujinga wako basi
TRA ni mkusanya mapato wa serikali si mfanyabiashara
Huyu ndiye kiongozi tuliyemuomba miaka mingi kwa Mungu. Heko Magufuli kwa kuipaisha Tanzania.
Waulize FISI wa kijani wenye madoa ya njanoMungu mlinde Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania!!
Nikiwa kama mwananchi mzalendo nambari wani na Shabiki wa kutupwa wa CCM ya Mwalimu Nyerere na CCM ya Mwalimu Magufuli sioni adha kusema kuwa nchi hii imetafunwa mno.
Sheria kali za udhibiti zipo...Katiba ni bora kabisa ...miundombinu sio mibaya je ni nini kilisababisha magawio yasionekane?Je yalikuwa yanatumika wapi?
Magawio ya zamani yalikuwa sehemu ya mapato ya serikali na matumizi yake yalikuwa yakiidhinishwa na bunge.Mungu mlinde Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania!!
Nikiwa kama mwananchi mzalendo nambari wani na Shabiki wa kutupwa wa CCM ya Mwalimu Nyerere na CCM ya Mwalimu Magufuli sioni adha kusema kuwa nchi hii imetafunwa mno.
Sheria kali za udhibiti zipo...Katiba ni bora kabisa ...miundombinu sio mibaya je ni nini kilisababisha magawio yasionekane?Je yalikuwa yanatumika wapi?
Mwizi tuu huyu MzeeMajini ya ujinga yamekukamata