Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

Hiii Pombe lazima imwagwe kwa kweli. Hivi kwa nini anadanganya hivi? Anamwabudu nani huyu? Anasali wapi huyu? Kwanini tunapita haya?
 
Kubenea kaiokoa ubungo, kaweka hadi fly over
 
Kichwa ya huyu mzee huwa inapata moto yaani kasahau alivyomuabisha Gambo?. kuwa wamekalia kugombana tu. Yoote anayoahidi ni uongo tena akikwapua ushindi hii miaka mitano tutashuhudia mauaji ya kutisha tena ya hadharani.
 
Mkuu we unashauri Nini kifanyike ili vyama vya upinzani viweze kuishinda CCM pamoja na vikwazo vingi vilivyopo?
 
Mwenye anakajua vizuri kale ka wimbo cha "cha uongo mpe chai ya bakuli anywe" naomba anikumbushe mistali yake.
 
na mbogamboga watamshangilia

kwa nini asiwe kiwanda cha uongo.?

mmmh...tumuombee akabidhi salama
 
Huyu mtu ana matatizo ya akili, siyo mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…