Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Ukiona kwenye timu mashabiki wanafanya sub ya mchezaji hiyo sio timu kikundi cha wahuni
 
Yule kabla hajakamata mic,lazima wasanitize eneo alipo na pia wanakeep distance,
Lakini pia Trump kaanza dozi ya chloroquine na watu Wana speculate kwamba kaikwaa corona,
Mind you,chloquine sio dawa ya corona,Bali huyu mzee anazeeka vibaya
Dawa ya corona ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuthibitisha hilo ? Hujui Waziri alisema ni kwa ajili ya utafiti ?
Na kabla ya utafiti haujamalizika mwana familia akapona corona kwa malimao na tangawizi. What a coincidence!
 
Wewe ukifungua mlango wa nyumba yako na jirani kafunga milango ya nyumba yake waweza ingia ?
 
CCM ya leo ni kutengua na kuteua...

Wananchi wameshakoka kabisa na hii habari!!
Ina maana tuwavumilie wanaozingua kwakigezo tu umechoka kuteua nakutengua, na wengine wasistaafu kwà kigezo tu kutakuwa na uteuzi!! !?

Mbona una mawazo FINYU Sana!!!

Typed Using KIDOLE
 
Anhaaah kumbe kama nchi tumefikia hatua kesi unaweza kupewa tu... Inaogopesha!!

"Mtu akileta kifaa kikichunguzwa kikakutwa na korona apewe kesi ya jinai hata ya kuua kabisa..." JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…