carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Kwahio anaahirisha mwaka?Mwanangu hapendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio anaahirisha mwaka?Mwanangu hapendi
Kwani hospital za Kigamboni hazina ma dawa?
Hajawahi kutuma mwewe kwenda Madagascar kwa dawa mitishimba yake binafsiVipi marangu kwa Mbowe hakuna dawa?
Hajawahi kutuma mwewe kwenda Madagascar kwa dawa mitishimba yake binafsi
Dawa ya corona ni ipi?Yule kabla hajakamata mic,lazima wasanitize eneo alipo na pia wanakeep distance,
Lakini pia Trump kaanza dozi ya chloroquine na watu Wana speculate kwamba kaikwaa corona,
Mind you,chloquine sio dawa ya corona,Bali huyu mzee anazeeka vibaya
Na kabla ya utafiti haujamalizika mwana familia akapona corona kwa malimao na tangawizi. What a coincidence!Unaweza kuthibitisha hilo ? Hujui Waziri alisema ni kwa ajili ya utafiti ?
Na kabla ya utafiti haujamalizika mwana familia akapona corona kwa malimao na tangawizi. What a coincidence!
Nikuulize wewe hilo swali.Kwahiyo dawa ya Madagascar ni tiba?
Elimu yako kwanza,umemaliza form ngapi?
Nikuulize wewe hilo swali.
Wewe ukiugua utapiga nyungu Au utatumia ya Madagascar
izo pesa zinajenga sgr na bwawa la jnhppMAGUFULI ARUDISHE BILIONI 5 NDUGAI BILIONI 12
Wewe ukifungua mlango wa nyumba yako na jirani kafunga milango ya nyumba yake waweza ingia ?Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje, mfano wanafunzi wanaosoma nchini kenya,uganda,rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
You believ without reasoningBarakoa ni muhimu sana mrembo. Usikubali kuwa kwenye public area bila ya mask [emoji40] popote pale in order to reduce the risk of COVID infection.
Sijafika asee..Haha kwani Wewe haukufanikiwa kufika chuo kikuu
Ina maana tuwavumilie wanaozingua kwakigezo tu umechoka kuteua nakutengua, na wengine wasistaafu kwà kigezo tu kutakuwa na uteuzi!! !?CCM ya leo ni kutengua na kuteua...
Wananchi wameshakoka kabisa na hii habari!!