Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Ukiona kwenye timu mashabiki wanafanya sub ya mchezaji hiyo sio timu kikundi cha wahuni
 
Unaweza kuthibitisha hilo ? Hujui Waziri alisema ni kwa ajili ya utafiti ?
Na kabla ya utafiti haujamalizika mwana familia akapona corona kwa malimao na tangawizi. What a coincidence!
 
Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje, mfano wanafunzi wanaosoma nchini kenya,uganda,rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
Wewe ukifungua mlango wa nyumba yako na jirani kafunga milango ya nyumba yake waweza ingia ?
 
CCM ya leo ni kutengua na kuteua...

Wananchi wameshakoka kabisa na hii habari!!
Ina maana tuwavumilie wanaozingua kwakigezo tu umechoka kuteua nakutengua, na wengine wasistaafu kwà kigezo tu kutakuwa na uteuzi!! !?

Mbona una mawazo FINYU Sana!!!

Typed Using KIDOLE
 
Anhaaah kumbe kama nchi tumefikia hatua kesi unaweza kupewa tu... Inaogopesha!!

"Mtu akileta kifaa kikichunguzwa kikakutwa na korona apewe kesi ya jinai hata ya kuua kabisa..." JPM
 
Back
Top Bottom