Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

Uhujumu uchumi ni kesi zetu sisi huku tunao mkosoa jiwe. Pia mahakama ya mafisadi haishughuliki na wanasiasa ambao ndo mafisadi wakuu. CCM wanalindana sana
 
Kweli aisee,yaani major general umpe kesi ya uhujumu uchumi hiiiiiiiiiiiiii patachimbika.
Uhujumu uchumi ni kesi zetu sisi huku tunao mkosoa jiwe. Pia mahakama ya mafisadi haishughuliki na wanasiasa ambao ndo mafisadi wakuu. CCM wanalindana sana

dodge
 
Katibu wake kaula sasa ni balozi kamuacha kangi na tambi lake la kukatia uno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliskiliza vizuri utagundua pale mwenye kosa kuu ni Kamishna wa zimamoto! Katibu na Lugola ni issue ya uwajibikaji, na Katibu alisifiwa kwa sababu alijiuzulu/aliwajibika bila shurti!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkitumwa na Mabosi zenu muwe ‘mnaleta mrejesho ‘

Kibali cha Safari Bosi anakupitishia unaenda kusaini Mkataba wa Trillion nzima halafu unarudi kama hakuna ulichosaini
 
Mkataba unaostahili kuwapeleka watu uhujumu uchumi ni ule aliosaini Kabudi akishuhudiwa na mzee baba.
Kama tutaundiwa Tume huru ya uchaguzi na Octoba tukampata rais wa chaguo la wengi basi inshallah, panapo majaliwa 2021 hawa wahujumu wa uchumi wetu kupitia Barrick tutakuwa tunaenda kuwasalimia jumamosi Segerea
 
Mahakama ya mafisadi ilimlenga mtu mmoja... keshahamia kwa muanzisha mahakama hiyo... HAINA KAZI

NI SAWA NA KUNUNUA BUNDUKI KISA KUNA MTU KAKUKERA... mara unapomaliza process za manunuzi, ALIYEKUKERA MNAKPATANA NA MNAKUWA MARAFIKI... bunduki inakuwa haina kazi
 
“Kuwajibika au kujitathmini” ni maneno ya kisiasa yanayotumika vibaya kipropaganda ili kukwepa sheria.

Swala la hawa jamaa ilikuwa ni uvunjaji wa taratibu za kisheria na wanaweza kushitakiwa au kwa matumizi mabaya ya madaraka au kwa kukiuka taratibu!

Tabia hii ya kutoshitaki na kuadhibu watu itatufikisha pabaya. Ndio tofauti yetu moja na mabeberu!! Wanaadhibiana, sisi tunaoneana aibu/haya!!

Impunity - letting crimes go unpunished!!
 
Mkuu hata Takukuru hawajaanza uchunguzi wa mkataba du Watanzania kwa majungu hamjambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…