johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa......... Mkuu umeua!Huyo jamaa keshavimbewa mbege na damu ya mbuzi hivyo hawezi kukuelewa, ana IQ ndogo sana kama mbuzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa......... Mkuu umeua!Huyo jamaa keshavimbewa mbege na damu ya mbuzi hivyo hawezi kukuelewa, ana IQ ndogo sana kama mbuzi!
Huyo jamaa keshavimbewa mbege na damu ya mbuzi hivyo hawezi kukuelewa, ana IQ ndogo sana kama mbuzi!
Uhujumu uchumi ni kesi zetu sisi huku tunao mkosoa jiwe. Pia mahakama ya mafisadi haishughuliki na wanasiasa ambao ndo mafisadi wakuu. CCM wanalindana sana
Katibu wake kaula sasa ni balozi kamuacha kangi na tambi lake la kukatia unoNauliza ivi Magufuli anapambana na ufisadi au anawalea mafisadi? Ivi kuna mtu anaweza kuwa fisadi nje ya mfumo wa ccm na serikali yake?
Ile mahakama ilifunguliwa kuwafunga kina nani?
Lugola alishakamatwa na Rushwa tukashangaa kupeaa uwaziri kaenda kusaini mkataba wa matrilioni nashangaa anayejiita mtumbua chunusi hata kusema ashitakiwe kwa kutaka kuliingizia taifa hasara na katibu wake anapewa ubalozi.
Najiuliza lengo la magufuli kumpa ubalozi ili iweje? Kwann wasishitakiwe kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Kabendera kadaiwa kutakatisha milioni 173 yuko jela hawa ma matrilioni wanapewa ubalozi.
Huyu ni mpenzi wa mungu yupi anayesema ukweli?
Aliyesafiri ni Adengenye, hukusikiliza?Pumbavuu kabisa aliyesemwa kasafiri kwenda kusaini ni nani?
Kama uliskiliza vizuri utagundua pale mwenye kosa kuu ni Kamishna wa zimamoto! Katibu na Lugola ni issue ya uwajibikaji, na Katibu alisifiwa kwa sababu alijiuzulu/aliwajibika bila shurti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu wake kaula sasa ni balozi kamuacha kangi na tambi lake la kukatia uno
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mnywa mbege amekurupuka!
Mahakama ya mafisadi ilimlenga mtu mmoja... keshahamia kwa muanzisha mahakama hiyo... HAINA KAZINauliza ivi Magufuli anapambana na ufisadi au anawalea mafisadi? Ivi kuna mtu anaweza kuwa fisadi nje ya mfumo wa ccm na serikali yake?
Ile mahakama ilifunguliwa kuwafunga kina nani?
Lugola alishakamatwa na Rushwa tukashangaa kupeaa uwaziri kaenda kusaini mkataba wa matrilioni nashangaa anayejiita mtumbua chunusi hata kusema ashitakiwe kwa kutaka kuliingizia taifa hasara na katibu wake anapewa ubalozi.
Najiuliza lengo la magufuli kumpa ubalozi ili iweje? Kwann wasishitakiwe kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Kabendera kadaiwa kutakatisha milioni 173 yuko jela hawa ma matrilioni wanapewa ubalozi.
Huyu ni mpenzi wa mungu yupi anayesema ukweli?
Mkuu hata Takukuru hawajaanza uchunguzi wa mkataba du Watanzania kwa majungu hamjambo.Wasalam, kuna taarifa kwamba imeundwa tume kuchunguza mkataba wa mamilion aliosaini mh lungola kwa niaba ya jeshi LA zimamoto na km itathibitika mkataba ni wakifasadi basi bwana lugola kangi atashitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi ambayo hayana dhamana hivyo kuna uwezekano akaungana na ndugu Eriki kabendera kule segerea.
Muda ni rafiki mwema tuvute subra tuone km tetesi za taarifa hii zitatokea sio mbali ni karibu sana.
Kwa hiyo kuwajibika bila shuruti ndio kunafanya awe msafi?Kama uliskiliza vizuri utagundua pale mwenye kosa kuu ni Kamishna wa zimamoto! Katibu na Lugola ni issue ya uwajibikaji, na Katibu alisifiwa kwa sababu alijiuzulu/aliwajibika bila shurti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tutarajie mabendera kupelekwa kwenye mahakama za kifisadi na uhujumu uchumi?Katibu hakuhusika amewajibika kwa sababu tukio limetokea wizarani kwake......uwe unaelewa bwashee!