Magufuli the best president atashinda asubui tu tena kwa kura nyingi sana amefanya makubwa
Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni
Pesa zao ni za mkopo na zinalipwa kwa riba.Wanajua ukiathiri TZ basi utaathiri na nchi nyingi za maziwa makuu amabazo ni vibaraka wao.TZ ndo hurb ya nchi za maziwa makuu.ila nyuma ya pazia mnanyenyekea mikopo huku mkiwahadaa Watanzania kuwa mnatekeleza miradi kwa fedha za ndani
Ndoto za mchana.Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ofcorse hawajawa matured enough....NAUSAPOTI UPINZANI KWA SANA ILA SIJAONA KAMA WAKO TAYARI KUSHIKA NCHI
Unajua ubelgiji ni nchi ya kifalme? Hata hivyo msipoteze nguvu kwenye mijadala kama hii. Kila mtu moyoni anajua majibu hata kama hatupendi.Hana uraia wa Ubelgiji, ila hata wabeligiji wanatamani angekuwa rais wao.
Ndo uzuri wa JF. Hata mtoto wa kindergarten anaanzisha thrd na kupata wachangiaji.Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Africa nzima imevuka salama kwa sababu ya mazingira ya jotoHatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Tume ni sawa na udongo Jamii ikiamua.Kwa tume ipi?
Kwa kubebwa na sio kujibeba kwa hojaMagufuli the best president atashinda asubui tu tena kwa kura nyingi sana amefanya makubwa
Basi tulia kumbe mkeka uko barabara we kanyag tu mafuta.Chadema huwa wanapenda kutishia nyau
Afadhali hata ya lema anaweza kupata kura
Huyo lissu huo urais ataupataje wakati ameamua kujilipua?