Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Magufuli the Great, Magufuli the Hero. Sio Tanzania tu wala Afrika, Bali Dunia nzima. Waje Trump, Obama, Blair, Dangote, Mo Ibrahim, n.k, kupambana na JPM, hawatafua dafu.
JPM hana mfano katika kipimo cha Urais Duniani kote. Kwa vile tu wazungu wanaona wivu, anastahili Tuzo ya Heshima
 
ila nyuma ya pazia mnanyenyekea mikopo huku mkiwahadaa Watanzania kuwa mnatekeleza miradi kwa fedha za ndani
Pesa zao ni za mkopo na zinalipwa kwa riba.Wanajua ukiathiri TZ basi utaathiri na nchi nyingi za maziwa makuu amabazo ni vibaraka wao.TZ ndo hurb ya nchi za maziwa makuu.
 
Unakaa miaka 2 ukimbizini then unataka urais.common!!
 
Ni sawa kila mtu kutamani kile anachokitaka lakini sio rahisi kila mtu kupata anachotamani.
Kwa awamu hii hakuna wa kumshinda Magufuli, hao uliowataja watulie sindano ziwaingie. Magufuli rais bora kwa watanzania
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ndoto za mchana.
 
Chadema wataiuza nchi kwa wazungu tumeshawashtukia,bora tukomae na ccm mbele kwa mbele
 
Tulimpata Mzee Mwinyi yeye anapenda kupeta mambo yalikuwa ruksa. Tulimpata Mkapa yeye alikuwa anabana sana tulitoka kapa. Akaja Mzee Kikwete yeye ni Mzee wa bata tulikula bata nchi nzima. Amekuja Magufuli yeye ni mtu wa kazi sasa nchi nzima ni hapa kazi tu sasa Chadema wanataka wenyewe kutuletea Tundu Lisu yeye ni mtetezi wa mashoga inamaana kwa trendi na uzoefu hii nchi itaingia katika historia mbaya zaidi duni kwakuwa na machoko wengi kilakona hata kupata wataalii
Mungu atuepushe na kizazi hiki kinachopenda kuingia shimoni huku kinaona.
 
Dah! unaandikaje ujinga hivi? Hatakama unaipenda cdm huwezi kuongea uongo mkuuubwa hivi eti lissu maarufu kuliko rais? Anauzoefu kuliko yeye... time hiihii amshinde? kwamba kwasasa Member au January wanafaa zaidi? huo ni ushabiki maandazi yaliyochacha
 
Hana uraia wa Ubelgiji, ila hata wabeligiji wanatamani angekuwa rais wao.
Unajua ubelgiji ni nchi ya kifalme? Hata hivyo msipoteze nguvu kwenye mijadala kama hii. Kila mtu moyoni anajua majibu hata kama hatupendi.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ndo uzuri wa JF. Hata mtoto wa kindergarten anaanzisha thrd na kupata wachangiaji.
 
Chadema huwa wanapenda kutishia nyau
Afadhali hata ya lema anaweza kupata kura
Huyo lissu huo urais ataupataje wakati ameamua kujilipua?
Basi tulia kumbe mkeka uko barabara we kanyag tu mafuta.
 
Back
Top Bottom