Yaani hapa ndio pumba zako zote zimekusanyika.1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.
2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake
3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.
Tujifunze kuheshimu Sheria
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.
Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.
Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.
Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?
Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Nitaeleza:
1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

Rais siyo Mamlaka ya Nidhamu ya Mfanyakazi huyo. Mamlaka yake ya Nidhamu ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa. Hii ni kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2003.Hivi kuna uthibitisho wowote ule kuwa ile ilikuwa quruan?
Lisije kuwa ni jarida tu linalofanana na hicho kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama unataka kukubali Mungu na kumuabudu, kuabudu kitabu badala ya Mungu ni sawa na kuabudu sanamu.Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.
Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.
Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.
Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?
Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Nitaeleza:
1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.
2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake
3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.
Tujifunze kuheshimu Sheria
Kwa mujibu wa ERLA 2004, LIA 2006 na kanuni za Maadili ya Watumishi wa Umma amekosea .Na siyo kila kosa ni lazima liundiwe tume ya uchunguzi mengine yanachukuliwa hapohapo ili kulinda image ya taasisi au Serikali.Alichokieleza jamaa ni kwa mujibu wa sheria za Utumishi wa umma na mahusiano, na standing order.
Kuna hatua za sheria za kumchukulia huyo Mtumishi ikianza na tume ya uchunguzi,na lazima asikilizwe.
Lakini inapokuja swala la Dini Ni kweli amefanya kosa kwa wakristo muumini hutengwa Hadi akili na kutubu.
Kwa kifupi hili Jambo limechukuliwa kisiasa zaidi kuliko SHERIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yalianza toka ishu ya Nabii Tito,alikamatwa na kudharirishwa pasina sababu ya msingi.
Kwa hiyo alicho Fanya ni sawa kwa muono wako wewe kwa sababu tu sio imani yake?Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.
Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.
Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.
Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?
Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Nitaeleza:
1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.
2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake
3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.
Tujifunze kuheshimu Sheria
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.
Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.
Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.
Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?
Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Nitaeleza:
1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.
2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake
3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.
Tujifunze kuheshimu Sheria
#correction muajiri si muajiliBasi muajili wewe.
Ukiwa na akili ndogo rudi FB Wenye akili wameelewaSasa ndio umeandika nini [emoji16][emoji16] Embu soma tena jiulize
Sent from my iPhone using JamiiForums
Una uhakika unavyosema kwamba huo muda aliokuwa amelewa ilikuwa ni siku na muda wa kazi?...kulewa saa za kazi,matusi,ugomvi na kusababisha uvunjifu wa amani ni vitendo vinavyotakiwa kuepukwa sana hasa ukiwa Mtumishi wa UMMA
Kweli?Moja ya athari za kifaa cha kusaidia moyo (pace maker,) ni depression (sonona)
Hii hupelekea baadhi ya wagonjwa kuwa vichaa na wengine hupekea kujiua.
Sent using Jamii Forums mobile app
ULIFUNDISHWA NA NANI?