Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria
Yaani hapa ndio pumba zako zote zimekusanyika.
 
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.

Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.

Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.

Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?

Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Nitaeleza:

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria

Nadhani unamchukulia rais wa TZ na marekani sio

USA rais anaweza kuwa challenged mahakamani...

Kwa Tanzania story is far different, usithubutu
 
Hivi kuna uthibitisho wowote ule kuwa ile ilikuwa quruan?

Lisije kuwa ni jarida tu linalofanana na hicho kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais siyo Mamlaka ya Nidhamu ya Mfanyakazi huyo. Mamlaka yake ya Nidhamu ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa. Hii ni kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2003.

Vile vile huyo mfanyakazi bado haijathibitishwa kama kweli amevunja Sheria kwa kuchana Quoran tukufu bali ni mtuhumiwa wa kuchana Quoran tukufu. Kisheria Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la 2000 inamtambua kuwa bado yeye hana hatia mpaka itakapothubitishwa na Mahakama kuwa ana hatia.

Rais anafanya hivyo kuwateka waisalamu kisaikolojia kuwa yuko pamoja nao katika kutetea watu wanaodhalilisha dini ya Kiislamu. Na kwa Waislamu wasio na upeo watashangilia hili.

Kama anataka awaonyeshe Waislamu kuwa yuko pamoja nao basi afanye mawili kati ya haya; awake uwiano wa kidini kwenye teuzi zake kwa kuwa kwa sasa Waislamu hawaonekani sana kwenye teuzi zake. Au awezeshe wale Mashehe walioshikiliwa tangu 2014 kesi yao isikilizwe na haki itendeke. Tumeona alivyowaachilia akina Nguza na mwanaye na wale watuhumiwa wa utoroshaji dhahabu waliokuwa wanashikiliwa gereza la Butimba.

Mimi ni Mkristu ila sitaki Rais atumie udhaifu wa kiimani kupata umaarufu wa kisiasa kwenye mwaka wa uchaguzi.
 
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.

Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.

Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.

Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?

Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Nitaeleza:

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria
Hata kama unataka kukubali Mungu na kumuabudu, kuabudu kitabu badala ya Mungu ni sawa na kuabudu sanamu.

Yani unakifanya kitabu kiwe kama ndicho Mungu, badala ya kuelewa kwamba kike ni kitabu tu.

Ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichokieleza jamaa ni kwa mujibu wa sheria za Utumishi wa umma na mahusiano, na standing order.
Kuna hatua za sheria za kumchukulia huyo Mtumishi ikianza na tume ya uchunguzi,na lazima asikilizwe.
Lakini inapokuja swala la Dini Ni kweli amefanya kosa kwa wakristo muumini hutengwa Hadi akili na kutubu.
Kwa kifupi hili Jambo limechukuliwa kisiasa zaidi kuliko SHERIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa ERLA 2004, LIA 2006 na kanuni za Maadili ya Watumishi wa Umma amekosea .Na siyo kila kosa ni lazima liundiwe tume ya uchunguzi mengine yanachukuliwa hapohapo ili kulinda image ya taasisi au Serikali.
Ni Mkristo Mwenzangu lakini siwezi hata siku moja nikamtetea mchonganishi wa Imani za Watu.
Kwa Mimi huyo Jamaa namchukulia kama gaidi wa Imani, na Wacha Mungu hatuna space ya kumtetea labda Wahuni tu. Haiwezekani Mtu unaacha kufanya kazi zako za Msingi kazi yako ni kutaka kutufarakanisha Watanzania kwa misingi ya kiimani.
Naomba huyo Gaidi wa Imani ashughulikiwe kama Magaidi Wengine walivyoshughulikiwa kwa Mujibu wa sheria.
Kuhusiana na tukio la Mwamposya hayo ni Majaribu ya kiimani, tusiyafanye kama ajenda tunaweza kukufuru na kumuudhi Mungu na kujisababishia Laana. Tuwaombee Marehemu walazwe mahala pema peponi na siyo kuanza kuwatukana Viongozi wa kiimani.
 
Jamani Mtumishi anaweza kuondolewa katika utumishi wa umma na Rais kama inavyoelezwa katika kanuni ya 29 (1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma. Hivyo huyu Jiwe wetu Mwamba wa TZ yuko sahihi kwa mukhtada huo. 😊😊
 
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.

Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.

Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.

Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?

Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Nitaeleza:

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria
Kwa hiyo alicho Fanya ni sawa kwa muono wako wewe kwa sababu tu sio imani yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maneno ya mkuu wa kaya yalikuwa makali sana!
Kumfukuza kazi
hata akishinda mahakamni asirudi job!
hapana!
 
Maandiko yanatuambia tuwajibu wapumbavu sawa na upambavu wao ili wasije wakajiona werevu machoni mwao.

Video imeonekana akitenda kosa la jinai aliloshitakiwa nalo mahakamani, hapohapo muajiri nae amemkuta na hatia ya makosa ya kiutumishi.
Rejea kiapo cha maadili ya utumishi wa umma kipengele namba 11.

Muajiri amejiridhisha pasi na shaka kuwa ni yeye na katenda kosa hilo la kiutumishi kupitia video na amemhukumu kumfukuza kazi.

Mahakama haijaingiliwa, kwasababu rais hajasema afungwe, hapana.

Technically anaweza akashinda kesi mahakamani kwa kosa la jinai, lakini ili arudishwe kazini inabidi amshitaki rais kwa kumfukuza kazi kinyume na utaratibu(kumbuka rais hashitakiwi personally kikatiba, hence dead end)

Tusimjaze ujinga yule kijana, maisha lazima yaendelee, apambane na kesi huku akicheki mishe kwingineko.

Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.

Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.

Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.

Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?

Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Nitaeleza:

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshuhudia mengi sana yakifanywa ikiwa ni pamoja na kutumia fedha nje ya bunge, kuwa mahakama na polisi!
 
Jafo unaweza kufurahia ktk hili mimi nakwambia huo ni mtego umejitia doa,hata mkuu wa nchi umemtikisa ikabidi aimbe wimbo asioupenda kwa lazima ili asionekane mbaya. Ila mimi nauona mwisho usio mwema kwako,naungana na mtoa mada jambo hili mmefanya kwa mihemuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kulewa saa za kazi,matusi,ugomvi na kusababisha uvunjifu wa amani ni vitendo vinavyotakiwa kuepukwa sana hasa ukiwa Mtumishi wa UMMA
Una uhakika unavyosema kwamba huo muda aliokuwa amelewa ilikuwa ni siku na muda wa kazi?
 
Mtumishi wa umma lazima awe mfano mzuri kwa Jamii. Me nimkristo, yule jamaa amekosea, sawa serikali haina dini lakini unawezaje kudhihaki kitabu cha dini ya wenzio tena hadharani kabisa bado kiongozi wa serikali ambaye ni raisi akuchekee? Vp kama kwa funyanya hivyo kungeleta uvunjifu wa amani.

Anatokea kijana mmoja much know anasema kisheria haijakaa sawa. Hata kama mimi ni Boss wake ningemfukuza tu kwa sababu ni upumbafu. Sio jambo jema kujifanya kila kitu unahusisha siasa kwenye mambo madogo lkn ya msingi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom