Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Lete kifungu cha sheria kitakachomtia hatiani!!
tapatalk_1581445273308.jpeg
 
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini

1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya nini? Niwie radhi kuwa this is cheap popularity and to win the Islamic community!

2. Umeshaidharau mahakama kwa kusema ashinde asishinde nimeshamfukuza kazi! Matamshi kama hayo ni ya kidictator katika nchi ambayo ni lawlessness. Unajipa ukuu wa kuwa juu ya mahakama na sheria maana unaapa kutoisikiliza mahakama in case anakwenda mahakamani na kushinda!

3. Hili siyo tukio la kwanza Nakuwekea kesi ya Dibagula uone how such issues are handled in a law abiding regime!
Mungu ibariki JF
 
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini

1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya nini? Niwie radhi kuwa this is cheap popularity and to win the Islamic community!

2. Umeshaidharau mahakama kwa kusema ashinde asishinde nimeshamfukuza kazi! Matamshi kama hayo ni ya kidictator katika nchi ambayo ni lawlessness. Unajipa ukuu wa kuwa juu ya mahakama na sheria maana unaapa kutoisikiliza mahakama in case anakwenda mahakamani na kushinda!

3. Hili siyo tukio la kwanza Nakuwekea kesi ya Dibagula uone how such issues are handled in a law abiding regime!
Kumfukuza kazi Yule kima is within his jurisdiction... Na ndio maana kasema hata akishinda kesi yeye hamtaki

Hakuna Sheria iliyovunjwa

Kiutaratibu wa ajira hata ukilewa muda WA kaZi, kutukana, kuzini, kuabuse people sexually inaweza kukufukuzisha kaZi

That idiot deserves everything he's getting

Don't smart ass hii issue
 
Siwezi kumkubali magufuli kwa kila analofanya nitakua taahira Kama wewe. Binadamu anaejielewa anajua baya na zuri.
basi zuri unaloliona wewe usilazimishe na wengine walione, vilevile hata kwa ubaya unaouona wewe usilazimishe na wengine wauone .
 
Rais amekosea by 100%. Huyu mfanyakazi anaweza akanuimwa haki zake leo kwa sababu Mahakimu na Majaji wataogopa kutoa maamuzi yaliyo fair.

Ila ukija utawala wa Rais mwingine hata 20 years to come, huyu mfanyakazi aliye chana Quoran atarejeshewa haki zake zote.

Watanzania kwenu na memory msiwe vichwa cha bata. BWM aliwahi kuwafukuzisha kazi Makamishna watakao wa Police wakiwemo ACPs Walele, Man na Lyimo mwaka 1996.

Wanafungua kesi na wanashinda na kuelewa fidia kwenye mwaka 2005 au 2007. Huyu Jiwe ni Dikteta asiyefuata sheria kabisa
Kwahiyo serikali zijazo zitaanza kuruhusu watu wachane Quran Tukufu na Biblia Takatifu. Kwamba serikali ya Magufuli inatakiwa kupuuza Freedom of worship? Nakuuliza swali, aliyechana Qur'an kakosea au lah kulingana na sheria za nchi.
 
Kifupi mchana quruani ana kosa kisheria ila alichofanya bwana mkubwa ni kutafuta popularity tu maana anapenda sana sifa alipaswa aache sheria ichukue mkondo wake

Ukisikiliza hotuba yake utasikia anasema “ nimechomekea tu kuhusu hili swala” utaona ni jinsi gani hili jambo hakupaswa kulitolea ufafanuzi yeye kama rais


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu yangu kweli hata huzitambuwi alama za nyakati? Tangulini mahakama ikaingiliana na serikali kuu?
Amesema amemfukuza kazi ya serikal kuu hana kazi huko mahakaman ashinde au asishinde ila hana kazi.
Alie muajiri hamtaki sasa amevunja sheria wapi?
Tumekuwa hater wa serikal kiasi hakuna jema tunaliona.
Ulitaka amwache mtu anaye taka kulipuwa taifa letu kwa mambo kidini?
Huyu nimtu hatari sana
Hivi hii nayo ni serikali ya kuionea jema!!!?
 
Kwahiyo serikali zijazo zitaanza kutuhusu watu wachane Quran Tukufu na Biblia Takatifu. Kwamba serikali ya Magufuli inatakiwa kupuuza Freedom of worship? Nakuuliza swalswali, aliyechana Qur'an kakosea au lah kulingana na sheria za nchi.
Hata Kama kakosea mihemuko ya Rais ya Nini!!? Amepelekwa mahakamani kuliko haki kisheria, kwa Nini Tena kujikweza!!? Maana kama Wananchi wangetumia mamlaka yao vizuri kupitia bunge, Basi naye Rais huyu angekuwa hana kazi. Sababu Ni simple tu, anatumia fedha za Wananchi kununulia toys, akijua ataulizwa hasara anazihamisha kwenda kwenye mafungu yasiyokaguliwa. Je, ni halali?
Wakati anayafanya hayo wafanyakazi hakuna nyongeza ya mishahara, wahitimu hakuna ajira, na wanafunzi hadi akope fedha world Bank kwa mabeberu!!!
 
Sijui unafikiri kw kutumia kiungo gani kwenye mwili wako.
Wacha nikupe darsa kidogo,
1 wewe sio mwislam na kama kweli wewe ni mwislam angalau ungetumia busara kwenye uzi huu.
Sasa basi nije kwenye mada. Je angetokea mwislam mwenye imani kamilifu na kumwonya jamaa aache kuchana na kutemea mate kitabu Quran tukufu halafu jamaa akamtukana au akamfanyia istihzai mambo yange kwendaje?
Kwa maana ni rahisi sana kutokea fujo ambayo ingechochea ugovi au vita kabisa kati ya uislam na ukristo. Na hicho ndicho alicho kiona mheshimiw waziri. Zaidi ya hapo wacha porojo za ki itikadi.
Nikiri kwamba mimi ni muislamu kwa kuzaliwa.

Ukiwa mpenda haki lazima uwe na uwezo wa kusimama katikati na kusema kweli.
Iliripotiwa kwamba kuna mtumishi mmoja kachana MASAHAF Huko Morogoro.

Hatua zilizochukuliwa dhidi yake ni kama ameua yaani mwamposa aliyekusanya watu na kusababisha wakanyagane akaonekana katenda jambo dogo kweli kuliko la kuchana MASAHAF.

Kama tunakumbuka vizuri hapa jukwaani kuna mtu aliitwa DIBAGULA. Huyu bwana alitokea huko huko Morogoro. yeye alisema YESU SIO MUNGU. Hukumu ya case yake inajulikana ukweli ni kwamba alishinda?

Leo kuna mzalendo mmoja huko Kigamboni amemfukuza huyu bwana kazi. Ni amma hajui sheria, kanuni na taratibu za utumishi au ni mihemko tu ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Nitaeleza:

1) Kwanza jamaa hajapewa nafasi ya kusikilizwa. Hapo anashinda mchana kweupe, hakuna mashtaka yoyote ya kiutumishi yaliyofunguliwa dhidi yake. Mkuu wa nchi kaingia chaka.

2) Imani yake haiamini kwenye utukufu wa qurani, yeye mkristo, unaposema kitabu kitakatifu sio kwake

3) Kosa alilofanya halimuathiri mwajiri wake kwa namna yeyote ile, amelifanya nje ya kazi zake.

Tujifunze kuheshimu Sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifungu 6(7) Cha kanuni za maadili kwa watumishi wa umma kinasema "Watumishi wa Umma wanapaswakuepuka tabia ambayo inavunjaheshima ya utumishi wao kwaumma hata wanapokuwa nje yamahali pa kazi. Tabia inayoweza kuvunja heshima ya utumishi waumma ni pamoja na matumizi yamadawa ya kulevya, ulevi, kukopakwa kiwango ambacho hawawezikurejesha, mwenendo mbaya nakujihusisha na vitendo vyovyote viovu mbele ya jamii".
Vyombo vya utoaji haki ni mahakama pekee. Acha kurndeshwa kwa kuhemuka na hisia. Subiri mahakama imtie hatiani ndipo umchukulie hatua zinazoendana na makosa yake.
 
Ila chuki anazozionyesha huyu bwana aliyemfukuza kazi kwa wapinzani ambailo ni watanzania wenzake ndio utumishi?
 
I think the President has the Supreme authority...unchallengeable...
unquenstionable. this is according to him... Aliwahi sema kuna mihimili mi tatu.. Ila wake umejikita chini zaidi.

He meant it. Its what is going on now.
So kelele wewe wengine mnaondelea hoji hilo... Mnapoteza muda.

Bottom line is ...that asshole is fired by the hire. So if you dont mind you all shutthefuckup.
Hili taifa limejaa vichaa. Na vichaa wakikutana sikilizia moto wake.
 
Hawa jamaa waliwezana wenyewe tu.

Hata hapa bongo enzi za Ishu ya mwembe chai waliokuwa watawala hapa Dar walikuwa wao..



Tukirudi kwa Mashehe wa uamsho utashangaa

Rais wa kwao
IGP wao
Dar RPC wao
Jaji mkuu wao na wakashindwa kuwatoa waislam wenzao.

JPM atavuna kura zao mwishoni mwa mwaka huu kwa kuwatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wamegusa Muungano sio rahisi kuwatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana . Mm ni mwislamu ila siyo DOGMA.
Ungesema kosa alofanya pale kisheria ni lipi.katiba kusema tu kwamba kufanya jambo lisilofaa hufai kuwa Mtumishi ni kuonesha kwahyo MTUMISHI AKIFUMANIWA ANAFUKUZWA KAZI?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nchi zilizostaarabika kufumaniwa imetosha ufukuzwe kazi, kwa mfano Marekani, kuna kipindi rais Clinton alipitia tabu sana kisa ka-cheat kwa mkewe.
Mtumishi wa umma lazima uwe makini kwa kila unachokifanya.
 
Back
Top Bottom