mkara mshamba
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 105
- 103
Pole sana . Mm ni mwislamu ila siyo DOGMA.
Ungesema kosa alofanya pale kisheria ni lipi.katiba kusema tu kwamba kufanya jambo lisilofaa hufai kuwa Mtumishi ni kuonesha kwahyo MTUMISHI AKIFUMANIWA ANAFUKUZWA KAZI?
Sent using Jamii Forums mobile app
WANASHERIA NAOMBA UFAFANUZI WENU. Najua katiba yetu inatambua uwepo wa mihimili mitatu, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA. Swali, je ni muhimili hupo uliopewa mamlaka ya kutoa haki ?. Hili nimeliuliza baada ya kumsikia muheshimiwa akitaka aliyechana kitabu kitakatifu cha waislamu afutwe kazi. Lakini ni pale tu aliposema, ASHINDE KESI AMA ASHINDWA HATARUDISHWA KAZINI.
Sent using Jamii Forums mobile app