Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

My point is , it is not the president to handle such an issue. If he has to act, he is to be gudeb by law and reason not arbtrarily and self esteem!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi alofanya mwamposa, yale anayofanya mzee wa upako, au yule muha wewe unayaona yapo sawa kwakuwa hawajagusa tabaka tawala? kumtawala mtu anayeamini kikombe cha babu wa loliondo ni rahisi sanaa
 
Rais kavunja kifungu gani cha sheria? Soma post #326
 
Hayo mavitabu yameletwa na manyang'au ili watawale akili zetu leo mnabishana kukichana?by the way Employment is world slavery
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kasome sheria vizuri raisi ni Nani
Kwa watumishi wa umma,,na anamlaka ya kumfukuza kazi mtumishi wa umma iwapo ameenda tofauti na matakwa na sheria zinazomwongoza za utumishi wa umma
Technically, Rais hana mamlaka ya kumfukuza kazi mwajiriwa wa serikali .....!!

kamati ya maamuzi magumu
 

Kwa akili Ndogo walizonazo,Magu kawapatia wala hawatadai tena Masheikhe wao wanaoozea mahabusu na kura kwenye uchaguzi ujao watatoa hapo ndipo utajua siasa ni mwana haramu.Waislamu wengi walionekana kukereka na Masheikhe wao kusondekwa ndani kipindi kirefu bila kesi na wakuu waliona huu ni mwiba kwao walitafuta mbinu ya kuwakwamua hapo ili nyoyo za Waislamu ziwaelekee sasa Waislamu wote kura kwa ccm maana mbaya wao katendwa vibaya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha chuki na dharau dhidi ya waislamu
Hakuna mahali waislamu nchi hii wamemshinikiza Magufuli amfute kazi huyo mlevi, mdini asiye na adabu.

Kwa hiyo wewe unataka kuwaambia watanzania kuwa huyo mlevi alitumwa na Magufuli aichane Quran, aitemee mate, kisha aikanyage ili baadae ajifanye anamwadhibu ili kuvutia kura za waislamu?

Nahisi na wewe ni mfia dini kama yule mlevi aliyetenda tendo lile baya kabisa la uchochezi
 
Muajili mkuu wa Rais ninani mkuu wangu??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…