Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Sasa tuwekee hapa na kanuni inayoonesha kwamba MTUmishi akiwakwaza watu wa imani Fulani basi adhabu yake ni kutimuliwa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifungu 6(7) Cha kanuni za maadili kwa watumishi wa umma kinasema "Watumishi wa Umma wanapaswakuepuka tabia ambayo inavunjaheshima ya utumishi wao kwaumma hata wanapokuwa nje yamahali pa kazi. Tabia inayoweza kuvunja heshima ya utumishi waumma ni pamoja na matumizi yamadawa ya kulevya, ulevi, kukopakwa kiwango ambacho hawawezikurejesha, mwenendo mbaya nakujihusisha na vitendo vyovyote viovu mbele ya jamii".
 
Nyie wafanyakazi muee makini ukileta upuuzi unafukuzwa tu. Nampa hongera Mh Rais Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufukuzwa sio tatizo kwani watanzania wote mil zaidi ya 45 wameajiriwa na selikali?je hawaishi ?tena maisha mazuri tu na mijengo ya maana .wakati mwingine kuona kuona kwamba kufukuzwa kazi serikalin ndo mwisho wa wakuishi ni utumwa wa fikra la msingi mtumishi nikutimiza wajibu wake kwa misingi ya kazi yake sio kutimiza majukumu yake eti kwa pressure ya kufukuzwa ikitokea basi iyo ni atua fanya mambo mengine maisha yaende
 
Wanasahau kuwa junankitu kinaitwa administrative review!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legitimacy + legality ya Polepole inaingia hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome kesi ya Marbury v Madison

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hiyo case tulinganishe facts of that case and this
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi wa huyo kijana atakuwa anajiuliza "But why my son? Why?"
 
Wape kifungu Cha sheria ama hata Public Servant Standing Orders bosi..waelewe kile kinachompa mamlaka Mh. Rais kumfuta kazi mtumishi aliye commit blossom au yeyote yulee. Wewe verified users na mjuvi wa Mambo..tuelimishe hasa wanaopinga pingaa..😊😊
 
..nilikuwa namjibu KARLO MWILAPWA aliyedai Raisi ana mamlaka au anaruhusiwa kufukuza kazi mtumishi yeyote na halazimiki kuzingatia sheria za kazi na uajiri.
Kuna watu wametenguliwa kwenye nafasi zao mpaka leo hatujajua walifanya Nini na Rais halazimiki Wala halazimishwi kutueleza kwa Nini alimtumbua.

Nimesema kwa sababu yeyote kwa sababu najua hakuna utumbuzi unaofanywa bila sababu ila sababu nyingine si lazima tujue/ tujulishwe.

Kusema Rais halazimiki kutii sheria hapo umenielewa au umeninukuu vibaya
 
We mbumbumbu, kuna disciplinary procedures za kuwaondoa watumishi wa umma kazini.

Sasa huyo magu wako kukurupuka tu huko chattle (sijui kakorofishana na Janeth) kamfukuza kazi mtumishi bila kufuata utaratibu!

Akiitwa dikteta mnanuna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..nashindwa kukuelewa au nakuelewa vibaya hapo unapodai Raisi anaweza kutumbua mtumishi wa serikali kwa " sababu yoyote. "

..mimi naamini Raisi anapaswa kufukuza watumishi kwa kuzingatia sheria na taratibu za uajiri za watumishi wa umma.
 
Why mnamtetea huyu wakati kuna wengine walifukuzwa kwenye mikutano ya hadhara tena ' kimasihara'? ACHENI UDINI NDUGU ZANGU NCHI YETU SOTE!
 
Acha ujinga wewe!

Sijui unalipwa shingapi kumwaga uharo mitandaoni!

Utumishi wa umma unasimamiwa na disciplinary authorities na kuna procedures za kufuata kabla ya Rais kukurupuka na kumfuta kazi.



Sent using Jamii Forums mobile app
I think the President has the Supreme authority...unchallengeable...
unquenstionable. this is according to him... Aliwahi sema kuna mihimili mi tatu.. Ila wake umejikita chini zaidi.

He meant it. Its what is going on now.
So kelele wewe wengine mnaondelea hoji hilo... Mnapoteza muda.

Bottom line is ...that asshole is fired by the hire. So if you dont mind you all shutthefuckup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…