Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Well done ,ufafanuzi makini sana
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna nyingine tunaita "executive order" hii haijalishi mahakama au bunge vimekunali ama laa!
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
 
Kosa linajulikana huyu akishahukumiwa automatically anapewa summary dismissal kazini anakuwa si mtumishi wa umma tena
Watakachofanya watu wa Utumishi (hiring authority) ni kumtafutia kosa huyu bwana. Kwa kuwa yupo ndani bila dhamana, easily wanaweza kusema hajareport kazini bila taarifa na/au ruhusa ya mwajiri. I am sure lazima watafute means kubariki maamuzi ya bwana Pombe
 
Chadema mtafteni Jebra Kambole au Kibatala haraka ili amsaidie huyo jamaa. Jiungeni pia na watetezi wa haki za binaadamu.
Mzee hili swala halipo kisiasa lipo kidini zaidi, wakristo wengi wanamtetea jamaa na waislam wengi wanaona hatua anazochukuliwa jamaa ni sawa yake tu,
 
I think the President has the Supreme authority...unchallengeable...
unquenstionable. this is according to him... Aliwahi sema kuna mihimili mi tatu.. Ila wake umejikita chini zaidi.

He meant it. Its what is going on now.
So kelele wewe wengine mnaondelea hoji hilo... Mnapoteza muda.

Bottom line is ...that asshole is fired by the hire. So if you dont mind you all shutthefuckup.
Matusi, kwanini unatukana watu bila sababu. Kenye bandiko hili hakuna tusi lolote. Why such a behaviour. kama kutukana ni kuzuri basi hilo hapo! fuckup mama yako shenzi!
 
i kuivuruga amani yetu,nis
msijidanganye hakuna amani. nani ambaye hajaguswa na uonevu wa Jiwe? All, all hata na wewe umeguswa ni kwa vile labda unanufaika sana na uonevu wake!
 
Serikali iliyopo madarakani inafanya kazi kwa niaba ya wananchi usiwe mpumbavu.
Mbona mwili unaupa kazi ya bule,kukibeba kichwa kisicho na kitu kwenye ubongo?kwani hicho kitabu alikichana akiwa ofisini?haitoshi Mwajili mkuu wa hao wote,akiwemo Rais ni mwananchi.
 
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
Mnajuaje kama alichana quaraan kama yalikuwa makaratasi au kitabu cha kawaida!!!
 
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
Kasome tena upya Sheria za Kazi. Rais siyo Mamlaka ya Nidhamu ya Mfanyakazi huyo. Mamlaka yake ya Nidhamu ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa. Hii ni kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2003.

Vile vile huyo mfanyakazi bado haijathibitishwa kama kweli amevunja Sheria kwa kuchana Quoran tukufu bali ni mtuhumiwa wa kuchana Quoran tukufu. Kisheria Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la 2000 inamtambua kuwa bado yeye hana hatia mpaka itakapothubitishwa na Mahakama kuwa ana hatia.

Rais anafanya hivyo kuwateka waisalamu kisaikolojia kuwa yuko pamoja nao katika kutetea watu wanaodhalilisha dini ya Kiislamu. Na kwa Waislamu wasio na upeo watashangilia hili.

Kama anataka awaonyeshe Waislamu kuwa yuko pamoja nao basi afanye mawili kati ya haya; awake uwiano wa kidini kwenye teuzi zake kwa kuwa kwa sasa Waislamu hawaonekani sana kwenye teuzi zake. Au awezeshe wale Mashehe walioshikiliwa tangu 2014 kesi yao isikilizwe na haki itendeke. Tumeona alivyowaachilia akina Nguza na mwanaye na wale watuhumiwa wa utoroshaji dhahabu waliokuwa wanashikiliwa gereza la Butimba.

Mimi ni Mkristu ila sitaki Rais atumie udhaifu wa kiimani kupata umaarufu wa kisiasa kwenye mwaka wa uchaguzi.
 
Yaani mtu achane Biblia au tenzi za rohoni kwa maono yake alafu mimi nidhurike au nikasirike? kama hizi vitabu ni vya Mungu au Allah basi mwenye vitabu vyake watampatia hukumu ila siyo binadamu kushupalia tu shingo.

Yaani umetoka kumnyima jirani yako pesa ya kumpeleka mtoto wake hospitali alafu unakuja kukasirika kua mtu amechana kitabu cha dini si upumbavu huo.
 
Summary dismissal inatolewa kwenye kosa lolote ambalo mtumishi amefanya kwa kuzingatia mamlaka yake ya kinidhamu.
We mbumbumbu, kuna disciplinary procedures za kuwaondoa watumishi wa umma kazini.

Sasa huyo magu wako kukurupuka tu huko chattle (sijui kakorofishana na Janeth) kamfukuza kazi mtumishi bila kufuata utaratibu!

Akiitwa dikteta mnanuna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo wapenda siasa hawa Wana chuki na uislam ana waislam.yani hapo kimewaumaa wameshindwa kuvumilia. Tatizo la ndugu zetu wakristo unafiki unafiki unafiki. Lakini tutafika tuu
Rais hajakosea lolote tena ameacha nafasi ya mahakama kutoa hukumu. Shida ya wapenda siasa wengi wakimchukia mtu wanaamini kila atakalofanya ni kosa.
 
Mkuu October hii hapo koridoni kura za kina faiza tayari keshazitia kibondoni madaraka matamu wewe
Huyu rais anavyooenda sifa, akijua kuna kamera na attentiin ya watu tu, hata ukimwambia aje afague chooni kwako atakuja na atafagia.

Mambo mengine hayahitaji kuingikiwa na rais. Kuna watendaji wa serikali msururu wako chini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom