Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hizi ndio sababu inabidi tujifunze kuangalia vitu kwa jicho la wengine.
Usitoe meaning ya vitu/matukio kwa uelewa wako, ndio unakuta mtu anafanisha adhabu ya mfanyakazi kulewa na kuchana kitabu cha Quran.
Mlevi akiingia msikitini wa dini yoyote sanasana watamtandika vibao na kumtoa nje; kwanza kwa waislamu kunywa pombe sio dhambi isipokuwa matendo yanayoweza fanywa baada ya kulewa ndio dhambi.
Halikadhalika kitabu cha Quran ni sacred kwa upande wao ivyo kukichana ni kununua ugomvi mkubwa sana.
Kwenye hili sakata either kwa kupangwa na serikari au utashi wao wenyewe viongozi wa dini waliojitokeza have handled the whole thing well kwenye kutuliza munkari za waumini wao.
Early reaction pia za serikari were very satisfactory kwa jicho la waislamu na nadhani serikari katika kuwaonyesha wapo serious kuheshimu sacred items zao ndio maana wanachukua hatua sahihi kwa mtazamo wa waislamu kulingana na ukubwa wa kosa lenyewe kwa tafsiri zao, sio za wengine.
Ni muhimu sana kama jamii tujifunze kuheshimu misingi ya dini za wengine especially kama atuelewi reasons behind their point of view (ata kama unaona hazina maana wala ukweli kwa mtazamo wako).
Binafsi kwa jinsi serikari na viongozi wa kiislamu walivyo handle sakata zima wameonyesha uelewa mkubwa wa changamoto inayounda jamii mchanganyiko ya watanzania.