Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Pole sana . Mm ni mwislamu ila siyo DOGMA.
Ungesema kosa alofanya pale kisheria ni lipi.katiba kusema tu kwamba kufanya jambo lisilofaa hufai kuwa Mtumishi ni kuonesha kwahyo MTUMISHI AKIFUMANIWA ANAFUKUZWA KAZI?

Sent using Jamii Forums mobile app

WANASHERIA NAOMBA UFAFANUZI WENU. Najua katiba yetu inatambua uwepo wa mihimili mitatu, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA. Swali, je ni muhimili hupo uliopewa mamlaka ya kutoa haki ?. Hili nimeliuliza baada ya kumsikia muheshimiwa akitaka aliyechana kitabu kitakatifu cha waislamu afutwe kazi. Lakini ni pale tu aliposema, ASHINDE KESI AMA ASHINDWA HATARUDISHWA KAZINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwajiri mpumbavu ambaye anaweza amuajiri yule kichaa ... Mtumishi wa umma mpumbavu ... siujui uislam ila siwezi nikaamka asubuhi nianze kuchana makaratasi yao infront of camera eti kisa siutaki uislam ...
Jiulize,
1. Kitabu alikipata wapi?
2. Nani alirekodi?
3. Alichana akiwa wapi?
 
Weka na kifungu cha adhabu ili tujue Kama kilichofanywa na RAISI ni sawa au si sawa!
Hapa umeniwekea kanuni bila adhabu ya atakayekiuka!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaona ni sawa mtu kuchana Biblia? Kwanza Uislam kwa mfano hauruhusu kuchana kitabu chochote ambacho Jina Mungu limetajwa,haijalishi limetajwa kwa muktadha ambao siyo sahihi au sawa na matakwa ya Kiislam lakini,ule uwezekano tu kuwa Mungu anaabudiwa(hata kwa njia zisizo sahihi au zisizoendana na Uislam,basi inabid kuheshimu,kwani ipo siku muhusika/wahusika wanaweza kuijua YAKINI/KWELI/FACTS kisha wakaja kuwa Waislam). So Muislam hawez kuchana Biblia asilani.
Ubishi wa maneno kwa kujibizana kwa hoja bila matusi haikatazwi. Yesu ni Mungu kwa Wakristo(kadri wanavyoamini), na Isa bin Mariam(Literally Jesu,Yesu,Jesus) Siyo mungu(bali ni Mjumbe wa Mwenyezimungu sawa na Musa,Ibrahim,Adam,Muhammad na wengine waliokuja kuja kutoa neno la kumcha Mungu), lakini kati ya mambo hayo mawili kwa dini hizo mbili,kila anachoamini mwenzake yaani Mungu au Siyo mungu( kwa Waislam) basi ni makosa kwa mwenzake.
Hapo nimeweka Mungu na mungu,ikiwa na maana kubwa literally Kiislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nidhamu ni muhimu angekuwa mwajiriwa wangu ningemtimua pia ... hastahili huruma labda huruma ya shetwaan na wafuwasie. Ukitetea tetea hawa watu utakuja kutetea hata ushoga! No way!!!
 
kitendo alichofanya jamaa ni hatarishi, kinagusa na kuumiza hisia za watu wa dini nyingine. matendo kama haya ni mizizi ya kuvuruga amani ya nchi yetu.

na viongozi wa serikali wamechukua msimamo thabiti ili kupoza jambo lenyewe ikizingatiwa, aliyefanya kitendo hicho cha kibadhuli ni mtumishi wa umma.

sheria jinsi ya kumtoa katika utumishi wake wa umma, kweli haijakaa sawa.
kwa sababu hatua aliyochukua kiongozi mkuu ya nchi, ni kwamba hata kama jamaa ataitwa kujieleza hukumu yake ishaamuliwa.

nichukue nafasi hii kuiomba serikali kuwatendea haki masheikh wa uamsho waliopo jela kwa makosa ya ugaidi. wakati serikali yetu pendwa daima hupinga uwepo wa ugaidi nchini kwetu kuepusha madhara yake ikiwemo kuharibu uwekezaji, utalii na nk.

kuumia kwao katika hili kutakuwa na maana sana ikiwa masheikh waachiwe.
mbona mapadre, maaskofu wanaipinga au kuikosoa serikali hawafungwi au kuitwa magaidi?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu punguza uongo, unywaji wa pombe ni dhambi na imetajwa ni vitu vya kishetani kwenye Quran. Usipotoshe
 
Wewe ni.mpumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muachie yeye akachukuwe katiba ya CCM na aichane pale
Wewe ni muislamu kwa jina tu

Kutamka kuwa Yesu si Mungu imo kwenye Quran kwa hiyo yeye akinukuu tu si maneo yake.

Kitendo alichofanya jamaa kinfeweza kusababisha mchafuko na mapigano ya kidini hasa kwa wakati huu ambapo kuna viashiria vya kutonfahamu.

Angekuwa mkweo mtarajiwa unamuona anawagawia KY na condom wanaume wenzake kituo cha basi ungesubiri uje umsikilize?
 
Angejifungia chumbani akachana hata kuruani mia, ukifanya hadharani ina maana kuna ujumbe unataka waislamu waupate, sasa kabla hawajamjibu mwajiri wake mkuu kamjibu. Nampa pole ila ile ilikuwa ni mihemko na kutokuwa makini. Jitu zima unakubali kurekodiwa ukichana kitabu cha imani kinachoaminiwa na mamilioni ya watu. Huogopi hata wenye imani zao watakachokufanya wakipandwa na hasira?. Amshukuru raisi, huenda adhabu aliyopewa ikapunguza hasira za waliokuwa na mawazo ya kumwadhibu kwa kudhalilisha imani yao.
 
Muislamu gan wewe usiyejitambua naamin huna elimu ya dini yako mzee Kama kweli muislamu jitahidi kuisoma dini yako ila kama unaekti sawa endelea kuekti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu punguza uongo, unywaji wa pombe ni dhambi na imetajwa ni vitu vya kishetani kwenye Quran. Usipotoshe


Hizo pia ni beer ukinywa inaacha harufu mdomoni kama bia zingine isipokuwa hazina kilevi ndani yake.

Mie sijui sana mambo ya dini na aya zake; hila kama wewe unaishi nje ya nchi tafuta maduka ya wasomali au waarabu ambayo hata sigara awauzi na muuza duka swala tano utakutana na hizo beer katika baadhi ya maduka.

Sio wote wanatumia hata hizo zisizo na vilevi hila wenyewe wanasema sio dhambi, kulewa ndio dhambi. Ndio maana wanauza alcohol free; haya gani za Quran zinasema ivyo sijui my knowledge is limited.
 
Siwezi kumkubali magufuli kwa kila analofanya nitakua taahira Kama wewe. Binadamu anaejielewa anajua baya na zuri.
sasa kama serikali iliyoko madarakani inafanya kazi kwa niaba yako , mbona huwa unashupaza shingo kumpondea magufuli humu jukwaani?
 
Namkumbuka Dibagula alitaka kuleta maandamani ya nchi nzima.Na yule hakimu alifukuzwa kazi na rais kwa manufaa ya uma lkn Siyo kwa kesi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…