Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Mungu ibariki JF
 
Kumfukuza kazi Yule kima is within his jurisdiction... Na ndio maana kasema hata akishinda kesi yeye hamtaki

Hakuna Sheria iliyovunjwa

Kiutaratibu wa ajira hata ukilewa muda WA kaZi, kutukana, kuzini, kuabuse people sexually inaweza kukufukuzisha kaZi

That idiot deserves everything he's getting

Don't smart ass hii issue
 
Siwezi kumkubali magufuli kwa kila analofanya nitakua taahira Kama wewe. Binadamu anaejielewa anajua baya na zuri.
basi zuri unaloliona wewe usilazimishe na wengine walione, vilevile hata kwa ubaya unaouona wewe usilazimishe na wengine wauone .
 
Kwahiyo serikali zijazo zitaanza kuruhusu watu wachane Quran Tukufu na Biblia Takatifu. Kwamba serikali ya Magufuli inatakiwa kupuuza Freedom of worship? Nakuuliza swali, aliyechana Qur'an kakosea au lah kulingana na sheria za nchi.
 
Kifupi mchana quruani ana kosa kisheria ila alichofanya bwana mkubwa ni kutafuta popularity tu maana anapenda sana sifa alipaswa aache sheria ichukue mkondo wake

Ukisikiliza hotuba yake utasikia anasema “ nimechomekea tu kuhusu hili swala” utaona ni jinsi gani hili jambo hakupaswa kulitolea ufafanuzi yeye kama rais


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi hii nayo ni serikali ya kuionea jema!!!?
 
Kwahiyo serikali zijazo zitaanza kutuhusu watu wachane Quran Tukufu na Biblia Takatifu. Kwamba serikali ya Magufuli inatakiwa kupuuza Freedom of worship? Nakuuliza swalswali, aliyechana Qur'an kakosea au lah kulingana na sheria za nchi.
Hata Kama kakosea mihemuko ya Rais ya Nini!!? Amepelekwa mahakamani kuliko haki kisheria, kwa Nini Tena kujikweza!!? Maana kama Wananchi wangetumia mamlaka yao vizuri kupitia bunge, Basi naye Rais huyu angekuwa hana kazi. Sababu Ni simple tu, anatumia fedha za Wananchi kununulia toys, akijua ataulizwa hasara anazihamisha kwenda kwenye mafungu yasiyokaguliwa. Je, ni halali?
Wakati anayafanya hayo wafanyakazi hakuna nyongeza ya mishahara, wahitimu hakuna ajira, na wanafunzi hadi akope fedha world Bank kwa mabeberu!!!
 
Sijui unafikiri kw kutumia kiungo gani kwenye mwili wako.
Wacha nikupe darsa kidogo,
1 wewe sio mwislam na kama kweli wewe ni mwislam angalau ungetumia busara kwenye uzi huu.
Sasa basi nije kwenye mada. Je angetokea mwislam mwenye imani kamilifu na kumwonya jamaa aache kuchana na kutemea mate kitabu Quran tukufu halafu jamaa akamtukana au akamfanyia istihzai mambo yange kwendaje?
Kwa maana ni rahisi sana kutokea fujo ambayo ingechochea ugovi au vita kabisa kati ya uislam na ukristo. Na hicho ndicho alicho kiona mheshimiw waziri. Zaidi ya hapo wacha porojo za ki itikadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya utoaji haki ni mahakama pekee. Acha kurndeshwa kwa kuhemuka na hisia. Subiri mahakama imtie hatiani ndipo umchukulie hatua zinazoendana na makosa yake.
 
Ila chuki anazozionyesha huyu bwana aliyemfukuza kazi kwa wapinzani ambailo ni watanzania wenzake ndio utumishi?
 
Hili taifa limejaa vichaa. Na vichaa wakikutana sikilizia moto wake.
 
Wale wamegusa Muungano sio rahisi kuwatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana . Mm ni mwislamu ila siyo DOGMA.
Ungesema kosa alofanya pale kisheria ni lipi.katiba kusema tu kwamba kufanya jambo lisilofaa hufai kuwa Mtumishi ni kuonesha kwahyo MTUMISHI AKIFUMANIWA ANAFUKUZWA KAZI?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nchi zilizostaarabika kufumaniwa imetosha ufukuzwe kazi, kwa mfano Marekani, kuna kipindi rais Clinton alipitia tabu sana kisa ka-cheat kwa mkewe.
Mtumishi wa umma lazima uwe makini kwa kila unachokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…