Kwa hiyo unaona ni sawa mtu kuchana Biblia? Kwanza Uislam kwa mfano hauruhusu kuchana kitabu chochote ambacho Jina Mungu limetajwa,haijalishi limetajwa kwa muktadha ambao siyo sahihi au sawa na matakwa ya Kiislam lakini,ule uwezekano tu kuwa Mungu anaabudiwa(hata kwa njia zisizo sahihi au zisizoendana na Uislam,basi inabid kuheshimu,kwani ipo siku muhusika/wahusika wanaweza kuijua YAKINI/KWELI/FACTS kisha wakaja kuwa Waislam). So Muislam hawez kuchana Biblia asilani.
Ubishi wa maneno kwa kujibizana kwa hoja bila matusi haikatazwi. Yesu ni Mungu kwa Wakristo(kadri wanavyoamini), na Isa bin Mariam(Literally Jesu,Yesu,Jesus) Siyo mungu(bali ni Mjumbe wa Mwenyezimungu sawa na Musa,Ibrahim,Adam,Muhammad na wengine waliokuja kuja kutoa neno la kumcha Mungu), lakini kati ya mambo hayo mawili kwa dini hizo mbili,kila anachoamini mwenzake yaani Mungu au Siyo mungu( kwa Waislam) basi ni makosa kwa mwenzake.
Hapo nimeweka Mungu na mungu,ikiwa na maana kubwa literally Kiislam
Sent using
Jamii Forums mobile app