Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Wewe kweli jinga! Magufuli anakula ugali wa bure?Yeye mwenyewe anashindilia na kubhugia ugali wa bure at taxpayers and donors expense hadi anavimbiwa ndio maana ana kiburi cha shibe.
Wewe kweli jinga! Magufuli anakula ugali wa bure?Yeye mwenyewe anashindilia na kubhugia ugali wa bure at taxpayers and donors expense hadi anavimbiwa ndio maana ana kiburi cha shibe.
Endelea kunywa mbege hapo kilabuni machame manka!Qengay mwenye jinsia mbili wewee
Wewe ndio wakuhurumiwa,Mtu yeyote anayesimanga watu kwa sababu ya chakula ni wa kumhurumia sana .
Waswahili wanasema shibe nyumba ya baa, kwa hiyo usishibe sanaaaaYeye mwenyewe anashindilia na kubhugia ugali wa bure at taxpayers and donors expense hadi anavimbiwa ndio maana ana kiburi cha shibe.
Huna akili kabisa,! Sasa rais kasema haleti chakula sababu ya hali mbaya ya hewa?Acha umbumbumbu wewe. Njaa haijawahi letwa na uvivu bali hali mbaya ya hewa. Na kama kufa kwa Corona kwake sio issue, itakuwa watu kufa wa njaa??!!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula...
[emoji23][emoji23][emoji23] SONGESHA NA MABEBERU.KWISHA HABARI YETU..[emoji1787][emoji1787]
Mzee Kama huna hela si useme tu mabeberu watusongeshe..[emoji23]
Ni kawaida ya watu waliokulia kwenye jamii maskini, kwao chakula anaona ni fimbo ya kuwachapia wengine.Mtu yeyote anayesimanga watu kwa sababu ya chakula ni wa kumhurumia sana .
Unaelewa lakini maana ya kukumbwa na baa la njaa?Sikia wewe mbumbumbu! Magufuli yuko sahihi! Nenda kalime usikae tu mjini unapiga domo ukitegemea njaa ikitokea utapata chakula cha bure
Go Go JPM Tanzania kuwa tunalia njaa ya chakula ni aibu kwa kweliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula....
Mmekutana mazuzuSawa kamua baba serikali kazi ni kuwajengea watu miundo mbinu afya na usalama wa mali zao sio kuwaletea chakula wavivu!
Sio ugali wa bure tuu hata nguo anapewa bureWewe kweli jinga! Magufuli anakula ugali wa bure?
Kuna kukumbwa na baa la njaa kwa uvivu na kwa majanga ya asili. Magufuli anaongela wavivuUnaelewa lakini maana ya kukumbwa na baa la njaa?
Unadhani huwa ni takwa la hiyari tu hasa kwa hao unaona ni wavivu.
Ni kweli. Siyo mara zote njaa inaletwa na watu kuzembea kufanya kazi. Hata maeneo yenye wachapa kazi wazuri sana njaa inaweza kutokea kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao. Hapo ndipo inabidi serikali ifanye kazi yake (tukumbuke moja ya kazi za serikali ni kutoa huduma wakati wa vipindi kama hivi)Acha umbumbumbu wewe. Njaa haijawahi letwa na uvivu bali hali mbaya ya hewa. Na kama kufa kwa Corona kwake sio issue, itakuwa watu kufa wa njaa??!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Roho mbaya ilopitilizaNa hapo pesa siyo zake.
Huyu mtu sidhani kama hata sisimizi analamba sukari nyumbani kwake.