Kaiba hela ya rambirambi Rais mzima unaiba hela ya rambirambi kwa aibu eti anajenga shule kupotezea . Jizi ambalo halina aibu licha ya cheo chake kikubwaSijutii kumpa kura Magufuli,!
Hata tetemeko la kagera mlimtukana kwamba mbona hizo hela hawapi watu wanunulie ndizi na mahindi ili wale yeye akasem tz hii haina shida na chakula, sasa umeona kituzimefanya zile hela? Je kuna mtu alikufa sababu kakosa hela ya kununulia mahindi na ndizi?