Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

Sijutii kumpa kura Magufuli,!

Hata tetemeko la kagera mlimtukana kwamba mbona hizo hela hawapi watu wanunulie ndizi na mahindi ili wale yeye akasem tz hii haina shida na chakula, sasa umeona kituzimefanya zile hela? Je kuna mtu alikufa sababu kakosa hela ya kununulia mahindi na ndizi?
Ungejua aliyejenga hiyo shule ni “riziki cazini wa magu” ungesikitika sana wewe mlipwa buku 5 za lumumba, practically pesa imerudi mfukoni kwa magu, kalagabhaho!
 
Kuna kukumbwa na baa la njaa kwa uvivu na kwa majanga ya asili. Magufuli anaongela wavivu
Kule bukoba walipata njaa sababu ya uvivu? Aliwapelekea msaada gani!

Aache kusimanga watu waTz wanajituma sana ni vile tu mazingira si rafiki, hata hivyo issue ya chakula isimpe shida, WFP wapo watasaidia kama ambavyo huwa wanasaidia siku zote, aache kusimanga watu huyu mhutu.
 
Yeye anatoa chakula kama nani ? Chakula kinatolewa na serikali sio yeye .

Hajui tofauti ya yeye kama msimamizi wa serikali, na msimamizi wa familia. Haya yote ni madhara ya kuwa na katiba mbovu yanayofanya rais kuwa juu ya katiba na sheria.
 
Na kazi si unaona anapiga..si mlikuwa mnaibiwa kila siku kisha mnaambiwa rais asiposafiri mtakufa njaa.
Aliyesema rais asiposafiri tutakufa njaa Magufuli ni mmojawapo, na wote tunaojitambua tulikuwa tunapinga ule utapeli. Kila rais alipiga kazi kwa namna yake, ila matokeo halisi mpaka leo bado nchi yetu ni masikini.
 
Back
Top Bottom