Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Jua na mvua kibamba hadi kimara hakuna kivuli.
 
ila tuwe wakweli huyu bwana ana akili ndogo sana hadi unajiuliza mara 2~2 juu ya uwezo wake
 
J J Mnyika miaka 10 ya ubunge kilomita 5 za lami!
Hii ni aibu kwa serikali ya ccm,kwa kubagua majimbo yaliyo chiini ya vyama vya upinzani.Mmepanda mbegu mbaya kwa Watanzania.
Mkitaka kujua hali yenu,kuwepo na Tume huru ya uchaguzi,ndio mtajielewa vizuri
 
Msitujaze ujinga sisi tunajielewa! Mbunge sahihi makalio yenu!
 
 


Huku naona wapinzani waliwakwanisha zaidi ya hapo Kibamba!
 
Rais Magufuli amesisitiza kuwa kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndio tatizo hivyo amewapongeza wananchi hao kwa kumchagua Mtemvu wa CCM na amewaahidi ujenzi wa barabara zote jimboni humo
Barbara zinajengwa kwa ufadhili wa WB asitudanganye, mbona sehemu nyingi tu za Ccm zinapumulia machine?
 
Hiyo haishangazi. Mbona ccm imetawala miaka 60 nchi bado masikini- elimu, maji. afya, ajira miundombinu.
Btw: Mnyika alikua anakusanya kodi?
Siamini akili yangu. Hivi huyu ni Rais? Basi ni wa hovyo sana.
 
You missed the point underboss. Mnyika was spending most of his time outside kibamba, kumfuata tundulissu na kumtukana Rais Kikwete. Haina maana kwamba angekuwapo ingekuwa London, ana maana tu kwamba ingebadilika. By the way Mnyika alidifika unahiri kupinga bajeti bungeni, akiwa City Council pia alikuwa anapinga bajeti zote za kibamba na ubungo na Ilala na barabara, alitaka katiba mpya. Nileteeni Gwajima inemuua mnyika, sugu, mbowe na tundulissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…