Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hajaulizwa mchakato wa saa 48 utaanza lini?Yote hiyo ni kutusahaulisha saa 48 ndani ya siku
Hii ni aibu kwa serikali ya ccm,kwa kubagua majimbo yaliyo chiini ya vyama vya upinzani.Mmepanda mbegu mbaya kwa Watanzania.J J Mnyika miaka 10 ya ubunge kilomita 5 za lami!
Msitujaze ujinga sisi tunajielewa! Mbunge sahihi makalio yenu!Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM.
Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha kujenga km 5 tu za barabara ya lami.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndio tatizo hivyo amewapongeza wananchi hao kwa kumchagua Mtemvu wa CCM na amewaahidi ujenzi wa barabara zote jimboni humo.
Rais Magufuli amesema Mtemvu ni mnyenyekevu na kwa kuanzia amempa heka 52 za ardhi ili zitumiwe na wananchi wa kibamba kwa ujasiriamali na miradi yao mbalimbali.
J J Mnyika wa Chadema ndio mbunge mstaafu wa Kibamba
Source: TBC
Maendeleo hayana vyama!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ajabu sana.Halafu mtu huyohuyo anamalizia na slogan yako ya Maendeleo Hayana vyama.
Kongwa ingekua kama London kwani haiwajawahi kua na mbunge asie wa CCM miaka 60 ya uhuru lakini bado wanajisaidia vichakani, watoto wanakaa chini na kwenye vichaka. Hakuna madawati, hakuna madarasa watoto wanasomea vichakani.
Dodoma yote sasa hivi ingekua New York kwani hawajawahi kuchagua mbunge wa upinzani miaka 60 lakini zaidi ya nusu ya wakazi wa Dodoma ni omba omba.
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM.
Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha kujenga km 5 tu za barabara ya lami.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndio tatizo hivyo amewapongeza wananchi hao kwa kumchagua Mtemvu wa CCM na amewaahidi ujenzi wa barabara zote jimboni humo.
Rais Magufuli amesema Mtemvu ni mnyenyekevu na kwa kuanzia amempa heka 52 za ardhi ili zitumiwe na wananchi wa kibamba kwa ujasiriamali na miradi yao mbalimbali.
J J Mnyika wa Chadema ndio mbunge mstaafu wa Kibamba
Source: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo haishangazi. Mbona ccm imetawala miaka 60 nchi bado masikini- elimu, maji. afya, ajira miundombinu.Miaka 10 barabara kilomita 5.
Barbara zinajengwa kwa ufadhili wa WB asitudanganye, mbona sehemu nyingi tu za Ccm zinapumulia machine?Rais Magufuli amesisitiza kuwa kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndio tatizo hivyo amewapongeza wananchi hao kwa kumchagua Mtemvu wa CCM na amewaahidi ujenzi wa barabara zote jimboni humo
Wa hovyo sana. Toka porini.Tuna rais wa ajabu sana.
Siamini akili yangu. Hivi huyu ni Rais? Basi ni wa hovyo sana.Hiyo haishangazi. Mbona ccm imetawala miaka 60 nchi bado masikini- elimu, maji. afya, ajira miundombinu.
Btw: Mnyika alikua anakusanya kodi?
You missed the point underboss. Mnyika was spending most of his time outside kibamba, kumfuata tundulissu na kumtukana Rais Kikwete. Haina maana kwamba angekuwapo ingekuwa London, ana maana tu kwamba ingebadilika. By the way Mnyika alidifika unahiri kupinga bajeti bungeni, akiwa City Council pia alikuwa anapinga bajeti zote za kibamba na ubungo na Ilala na barabara, alitaka katiba mpya. Nileteeni Gwajima inemuua mnyika, sugu, mbowe na tundulissu.Kongwa ingekua kama London kwani haiwajawahi kua na mbunge asie wa CCM miaka 60 ya uhuru lakini bado wanajisaidia vichakani, watoto wanakaa chini na kwenye vichaka. Hakuna madawati, hakuna madarasa watoto wanasomea vichakani.
Dodoma yote sasa hivi ingekua New York kwani hawajawahi kuchagua mbunge wa upinzani miaka 60 lakini zaidi ya nusu ya wakazi wa Dodoma ni omba omba.
Mwanga ni sawa na kongwa?Mbona hutaji jimbo la Mwanga!
Hivi mnyika anajengaje lami? Ina maana TANROAD HAWAKWEPO? WAKUU WA SERIKALI JE?Aibu kubwa sana.
Unauliza swali la kipuuzi hivi?Hivi mnyika anajengaje lami? Ina maana TANROAD HAWAKWEPO? WAKUU WA SERIKALI JE?