Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Hapa itabidi niweke pembeni itikadi zangu za kutokukubalina naye kwenye baadhi ya mambo ,Nakumwombea Mungu amlinde
 
Siku hizi Lumumba wanashindana kuleta umbea ili wapande vyeo kimwendokasi. Lizaboni anapitwa kwa umbea sasa hivi
Lizaboni kakomenti mara moja tu kapotea, bado nasubiri comment ya Chabruma.
 
Wakati fulani wanafunzi walimwendea Yesu baada yakutoa mfano wa magugu ndani ya shamba la ngano na nia yao ilikuwa nikumta Yesu awatenge wana wanuru na wa giza lakini yeye akawaambia yaecheni magugu yamee katikati ya ngano maana mvunaji ikifika wakati wakuvuna atayatenga bilashaka ngano kule gugu kule.
Wasaliti wapo wengi sana hata hayo umeandika nikidogo ila vyombo vya usalama vipo imara kuyatenga magugu na ngano. Naiman JPM anamengi anayo yapata ila hakurupuki mwisho wao utawajia kama mauti na vikao vyao vitabaki kuwa kama historia isio andikwa mahalipopote. Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Mungu mbariki Rais wetu na watanzania
 
Ukawa bwana hata kuyunga uongo hamjui poleni
 
Yana ukweli haya? We wakati huo wanaongea unakuta huko wapi? Maana hii ni siri kubwa sana we umejuaje kama sio mwenzao? Umeamua kumwaga mboga sio.
 
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
 
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
 
Now Riz is reaping what he sow.
Hivi katika vijana woooote aliona makondakta ndio anayefaa kumwandaa kwenye succession planning yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…