Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Nadhani walioshidwa kununua wapinzani, wataisoma namba
 
akisoma hii meseji hatakama alinuia ana ahirisha
 
Bandika bandua!!! Tofauti na Trump ni rangi na nchi otherwise the difference is the same.
 
Rais hapangiwi! Yeye anautashi wake. Kujitolea kwa chama kwa mapenzi yako mwenyewe si garantee ya kupewa fadhila ya u-DC au post yoyote ile.
 
aanze na mkurugenzi wa dodoma amekua kero sana na maamuzi yake ya kukurupuka......
 
watanzania kwa kupenda tetesi na michapo...mh!
 
Katika maisha mabadiliko ni lazima. Kwa nini unatoa alert kwenye issue iliyo obvious?
 
Kumbe ndo maaanaaaaa yule DC wa Rombo na DED walikua kla muda wanapost picha wakijidai kupiga kazi ili wajiongezee nafas za kubakiiiii?
 
Kiongozi wa Malaika
 
Mabadiliko makubwa haya yetu macho tu.
 
wellcome msemaji wa zamani wa Yanga.....wellcome Le mut..

Acheni tu wenye lugha yao Waingereza watudharau Waafrika. Nimelipenda sana neno lako la ' wellcome ' uliloliandika Mkuu japo sijajua kama lina tofauti na lile la ' welcome '.
 
Naonananataka kulipa fadhila kwa wasiojulikana. Kwa kazi nzuri.
 

Kina Pohamba, Jinga la wao etc. hivi waliacha no. zao. Au wali mp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…