Tetesi: Rais Magufuli kupangua wakuu wa wilaya na wakurugenzi muda wowote

Kama katika uteuzi huu Mtangazaji ' kimbelembele ' na bingwa wa ' kujipendekeza ' Bwana Hassan Ngoma akikosekana basi akaoge maji ya kutoa ' nuksi ' Kwao Makanya Upareni Mkoani Kilimanjaro.
 
Ha ha ha ha ha haaaaa.... mambo vipi malkia wa nguvu.?
 
Litakuwa jambo jema na la busara akifanya hivyo!

Wakurugenzi makada wenye kuwaza future zao za kisiasa badala ya kuwaza maendeleo ya wananchi wanamuangusha JPM, ni jambo la kheri akateua wengine bila kuwa na kigezo cha uvyama!. Tanzania ni yetu sote!!
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
Na wanayofanya ktk maeneo yao ya kazi ni uhuni na upuuzi mtupu.
 
Magufuli Njoo PM unichague Mkurugenzi wa Temeke au manispaa yoyote baba
Nina elim ya kutosha, uwezo pia.

Ila mimi ni wa kaskazini, ukinichagua basi kaskazini yote itakukubali
 
kila la heri, kuja kutahamaki 2020 hiyo. mwisho wa siku hakuna walichodeliver
 
ni kwa ajili ya kuwapa udc akina tumbili ili kuwavutia wapinzani zaidi
ni rushwa tu kama rushwa nyingine
nilipooona hamnazo ni pale nafasi za u-DED na u-DAS walipojazwa makada wa ccm
nilichoka
Le mutuz, Msiba, Jerry muro mzee wa Nissan nyeupe wameandaliwa vyeo ndiyo wanamsukuma Mtukufu kufanya mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…