Hii naikumbuka vyema baada ya hali kutulia wapambe wake wajinga wajinga ni kweli walisema huo ujinga. PWakati anaingia madarakani, sukari ilikuwa imetulia kwenye 1,800 - 2,000 kwa kilo. Tena ilitulia haswaa, wala haikuwa ishu. Sasa Magu na kiherehere chake, sukari iikapanda hadi 6,000 kwa kilo. Baadae ika-settle 2,600 kwa kilo. Hapo akasikika akidanganya kuwa alikuta sukari inauzwa 5,000!
na tatizo linapokuja kipindi hiki cha mfungo tu kila mara tunahisi kama ni mpango maalum kwa ajili ya kutatiza swaumu za wanaofunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sukari ilimkaribisha Hivo imekuja kumuaga tena.Next year tutakuwa na tz mpyaNajiuliza ni nini tatizo?
Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.
Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.
Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?
Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
Kipindi analHakuahidi kupambana na ishu ya sukari. Hilo ni jambo la waziri na lilisumbua tangu enzi za awamu ya kwanza sema wewe ulikuwa bado kwenye kiuno cha mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uongo wa mchana
Mikocheni, Ngoja nije PM.Uko wapi nikuletee [emoji6]
hivi hapo Chato sukari kilo 1 inauzwa bei gani?Huu ni uongo wa mchana
Nenda Mlimani City duka la Game bei tshs 2950 kwa kiloHebu tuelekeze ilipo sukari.
Suala la sukari ni tatizo la kimfumo tu, Unataka kusema kwamba Bodi ya Sukari hawajui mwarobaini wa tatizo la sukari . ?Bila kupepesa macho, kwenye sukari kuna udhaifu mkubwa Sana, karibu serikali zote hasa majira ya mwezi mtukufu, kuna nini?
Je mawaziri huwa wanaweka mikono Yao hapo? Hili la sukari ukweli ni janga haswa, ukweli usemwe, Serikali imechemka
Achana na ndoa, hivi unajua kwa miaka zaidi ya ishirini iliyopita hakuna kiwanda kipya cha sukari Tanzania . ?Unazungumzia miaka mitano wakati ameshindwa kuimudu ndoa yake yenye miaka 40!!!
Ulivyompumbavu unadhani sukari imeadimika kwajili ya kuwakomoa walioko kwenye mfungo.na tatizo linapokuja kipindi hiki cha mfungo tu kila mara tunahisi kama ni mpango maalum kwa ajili ya kutatiza swaumu za wanaofunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtanzania anapaswa kuifuata sukari Mlimani City ??Nenda Mlimani City duka la Game bei tshs 2950 kwa kilo
Mkuu, msimamizi wa hili si ni serikali? Lawama zoote ni Kwa SerikaliSuala la sukari ni tatizo la kimfumo tu, Unataka kusema kwamba Bodi ya Sukari hawajui mwarobaini wa tatizo la sukari . ?
🤣🤣🤣mwaga ushahidi hapa mkuuUnazungumzia miaka mitano wakati ameshindwa kuimudu ndoa yake yenye miaka 40!!!
Mkuu, hapa Mimi ni mshabiki wa JPM Sana!! Ila katika hili, sipepesi macho mkuu, hapana, mbona sukari ni tatizo na hakuna maelezo? Ina maana watu wote wa Dar wawe wanaenda kununua sukar ShopRite mlimani siyo?Nenda Mlimani City duka la Game bei tshs 2950 kwa kilo
Spika mwenye vidole vyake vi3!Kwani kuna kitu alichowahi kufanikiwa huyu kiumbe zaidi ya kumpata spika dhaifu ndani ya himaya yake!!!