Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Yaaani tukianza kufa km nzige sijui ataweka wapi sura yake
 
We jinga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doh, kaazi kweli kweli.
 
Sasa mtoa mada kama unaamini kuwa kuana maambukizi kidogo kuliko kenya kwa mujibu ya tafiti yako, hujiulizi kwanini? Basi serkali iko makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're an embicile, you're rotten cunt!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna haja ya kunyonga watu hapa yaani mtaalamu kasomeshwana hela ya wananchi wanyonge anashindwa kutofautisha specimen ya mbuzi, papai, fenesi na binadamu!! Oootw na iyo chaaa. Tuwanyonge tu hawa wataalamu. Nilisema tu akitoka mafichoni atafokaaaaaa . Baba rudi Dar BABA tuchape kazi. We are theifu.
 
He is Excellence His majest President sometime he required to know this
 
Bila shaka huyo aliyesema hayo hayuko vizuri kichwani
 
Kwa akili yangu ndogo,nimejiuliza maswali mengi sana.
Walisema vifaa vya kupimia c-19 ni gharama,wamewezaje kupima mpaka mapapai,mafenesi na oil za magari?

Cha kushangaza hii sample ya oil ya gar ama papai inapimwaje sijaelewa?
(Hapa naomba usaidizi wa wataalam wa maabara)

Nimeona "supreme leader" ametuma ndege madagasca,kuchukua dawa ya asili ya miti shamba,Je hio dawa ni ya nini,kutibia oil,mapapai na mananasi?

Kwa akili yangu ndogo alitakiwa kuanza kutatua swala la vipimo kwanza,Ili tatizo lijulikane kwanini mafenesi yana c-19 ndipo alete dawa sasa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid, you're more than an embicile,

Get time to read , so stupid in deed

Umeambiwa sample zilipewa majina then unaleta u pupu wako hapa


Mjinga mkubwa wewe na genge lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba vipimo vyetu ni fake vinabambikiza watu Corona ilhali ni malaria? Ama wataalamu ndo zero katika kuvitumia??
Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo
 
1. Wataalamu wa mambo huu ni UCHOCHEZI wa aina gani juu ya janga hili la COVID-19?

2. Wataalamu wa mambo huu ni UPOTOSHAJI wa aina gani juu ya janga hili la COVID-19?

3. Watalaamu wa mambo huku ni kuleta TAHARUKI ya aina gani katika jamii juu ya janga hili la COVID-19?

Hivi nyie mnao tukuza kila kitu asemacho huyu KICHWA KICHUGU kwa sasa mnajipanga vipi kutetea pumba hizi? Em mkuje haraka nahitaji kusoma maoni yenu.
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…